SOCIAL MEDIA

Maisha ukiwa tegemezi utayaona rahisi na mepesi kama aonavyo mtoto mdogo kila an…

By

on


Maisha ukiwa tegemezi utayaona rahisi na mepesi kama aonavyo mtoto mdogo kila anacholilia anataka apewe! Ukiwa tegemezi utawahimiza na kuwalazimisha wanaokulea, wakupe kile unachotamani kuwa nacho na kujidai sharobaro au sistaduu wa mtaa.

MWANANGU KUA UYAONE!

Ukiwa hauna MAJUKUMU, utajikuta unapoteza vitu vitatu.

Utapoteza AKILI (uwezo) ya kutafakari mambo mazuri na makubwa kwa ajili ya kuijenga kesho yako.

Pili utapoteza MUDA wako kuhangaika kuishi maisha ya kuwaaminisha watu kwamba upo vizuri kiuchumi jambo ambalo halitakusaidia mbele ya safari.

Tatu utapoteza pesa nyingi kununua vitu ambavyo havina maana sana kwa maendeleo yako na hivyo kujikuta unajiingiza kwenye vijipu uchungu (madeni) visivyokuwa na sababu.

Kwa kifupi kama bado unafanya mambo ili kuwaaminisha watu wakuone una hela tambua kuwa bado una akili za Kitoto sana!

Zinduka.

Follow @moneyspringtz
Follow @moneyspringtz

Ili uendelee kupata kujikumbusha mambo mbalimbali kuhusu maisha lakini pia uweze kuona bidhaa mbalimbali kwa bei za jumla.
#moneyspringtz4life

#WCB4LIFE #KONDEGANG4EVERYBODY #daresalaam #mbeya #mwanza #arusha #singida #tabora #mombasa #udaku #umbea #carrymastory #diamondplatnumz #kondeboy #wemasepetu #mobettostyles #jumalokole #rayvanny #nyange #bongoflava #bongomovie #chekatu #wasafimedia #cloud #lukambaofficial #shishi #wedding #eastafricaweddingsSource

About Erick

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *