SOCIAL MEDIA

#repost @babutale MUZIKI. Ziko dhana nyingi sana kutoka kwa Walimwengu juu ya m…

By

on


#repost @babutale MUZIKI.
Ziko dhana nyingi sana kutoka kwa Walimwengu juu ya muziki:

MUZIKI ni Sanaa,
MUZIKI ni Ajira
MUZIKI ni Elimu
MUZIKI ni Utawala
MUZIKI ni Suluhisho.

Najua nawe pia unayo tafsiri pana juu ya Muziki.

Leo nataka ujue kuwa Muziki ni TUNDA lililolaliwa, kwakuwa ni biashara inayouzika popote.

Muziki hauchagui Soko, iwe Mtaani, Ofisini, kwa Wanaume, Wanawake na hata kwa mwenye rangi yoyote bado muziki utauza.

Namaanisha Muziki unalipa na unaleta Heshma, Utu na Thamani.

Kwa sasa Thamani ya Muziki imekuwa zaidi kwakuwa Rais wetu Dr. John Pombe Magufuli anahakikisha Muziki wetu unatupa matokeo chanya, Wizara yetu ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo inatupa uwanja wa kutengeneza Alama.

Haya uyaonayo hapa ni Matunda yaliyolaliwa na Muziki.

Ninapojiita CHAWA WA MAGUFULI namaanisha ni mfuasi wa matokeo ya kazi zake ikiwemo Matunda ya Muziki pia.

MUNGU UBARIKI MUZIKI WETU, MUNGU IBARIKI TANZANIA. #Malengo #TheBlackGodFather
┏━━━━━━━━♛━━━━━━━━┓
🔛🔥Follow @chuce_msafi
🔛🔥Follow @chuce_msafi
🔛🔥Follow @chuce_msafi
┗━━━━━━━━♛━━━━━━━━┛
#CHUCE_MSAFI #WCB4LIFE #CHUCEMSAFI
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃
ғᴏʟʟᴏᴡ ᴍᴇ ᴋᴡᴀ ʜᴀʙᴀʀɪ ᴍᴘʏᴀ ᴋᴜᴛᴏᴋᴀ ᴡᴄʙ ᴡᴀsᴀғɪ
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃Source

About Erick

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *