🔴#LIVE: Magufuli Aahidi Mazito Tabora

Mbio za kampeni Zinaendelea kutimua vumbi katika mikoa mbalimbali nchini ambapo leo Septemba mbili, 2020 DKT Magufuli anaendelea na mikutano ya hadhara Ambapo amesisima katika eneo la Msigiri kwaajili yakuwaomba watanzania kumpa kura.Toa comment