local

JPM Afanya Uteuzi Baraza la Maadili la Viongozi wa Umma

By

on

JPM Afanya Uteuzi Baraza la Maadili la Viongozi wa Umma

Rais Dk John Magufuli  amemteua Jaji Mstaafu Ibrahim Sayida Mipawa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma.

Jaji Mstaafu Mipawa anachukua nafasi ya Jaji Mstaafu Januari Msofe ambaye ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria.

Loading…

Toa comment

Posted from

About erick

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *