BREAKING: MTN Ya Sauzi Yafunga Maduka Yake Nigeria

Posted by - September 4, 2019

KAMPUNI la mawasiliano la Afrika Kusini la MTN, limetangaza kufunga maduka yake yote nchini Nigeria kutokana na baadhi ya raia wa Nigeria kulipiza kisasi cha mashambulizi ya kibaguzi yanayofanywa dhidi ya raia wa Nigeria walio nchini Afrika Kusini. Mashambulizi hayo yamemfanya Waziri wa Mambo ya Nje wa Nigeria,  Geoffrey Onyeama, kusema kwamba serikali ya Afrika

XENOPHOBIA: Kagame na Marais wengine wawili wasusia mkutano wa uchumi wa WEF, Rais wa Ghana atoa somo kwa raia wa Afrika Kusini

Posted by - September 4, 2019

Rais wa Rwanda, Paul Kagame hatoweza kuhudhuria mkutano wa uchumi wa WEF ulioanza leo Septemba 4, 2019 nchini Afrika Kusini. Akieleza sababu za kutoshiriki Rais huyo, Msemaji wa Idara ya kimataifa ya uhusiano na ushirikiano nchini Afrika Kusini (DIRCO), Lunga Ngqengelele, amesema kuwa Kagame hatashiriki mkutano huo na hajajua kama sababu za vurugu za wazawa kuwapiga

Kisa Mastaa… Mwinyi Zahera Agoma Kucheza na Mbao FC

Posted by - September 4, 2019

Kisa Mastaa… Mwinyi Zahera Agoma Kucheza na Mbao FC September 4, 2019 by Global Publishers KOCHA mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amegoma kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Mbao wakati timu hiyo itakapokuwa kambini jijini Mwanza.   Yanga ambayo itaweka kambi jijini humo kujiandaa na mchezo wa kimataifa Septemba 14 jijini Dar, dhidi ya Zesco

Lwandamina Amvulia Kofia Yondani – Global Publishers

Posted by - September 4, 2019

Lwandamina Amvulia Kofia Yondani September 4, 2019 by Global Publishers   BEKI kisiki wa Yanga, Kelvin Yondani, anaonekana kuwa tishio mbele ya kikosi cha Zesco United baada ya kocha mkuu wa kikosi hicho, Mzambia, George Lwandamina, kuweka wazi kuwa, beki huyo ni miongoni mwa mabeki bora ambao amewahi kuwafundisha. Kauli ya Lwandamina imekuja zikiwa zimebaki

Nape Aitaka Serikali Itimize Ahadi – Video

Posted by - September 4, 2019

Nape Aitaka Serikali Itimize Ahadi – Video September 4, 2019 by Global Publishers MBUNGE wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye, pamoja na kuishukuru serikali kwa kuahidi kutoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa hospitali ya wilaya, ameitaka itimize ahadi ilizotoea kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali katika jimbo hilo wakati wa ziara ya Waziri Mkuu,

BREAKING: MTN la Sauzi lafunga maduka yake Nigeria

Posted by - September 4, 2019

KAMPUNI la mawasiliano la Afrika Kusini la MTN, limetangaza kufunga maduka yake yote nchini Nigeria kutokana na baadhi ya raia wa Nigeria kulipiza kisasi cha mashambulizi ya kibaguzi yanayofanywa dhidi ya raia wa Nigeria walio nchini Afrika Kusini. Mashambulizi hayo yamemfanya Waziri wa Mambo ya Nje wa Nigeria,  Geoffrey Onyeama, kusema kwamba serikali ya Afrika

Kocha Simba Atimka Dar – Global Publishers

Posted by - September 4, 2019

Kocha Simba Atimka Dar September 4, 2019 by Global Publishers KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems jana asubuhi alitua katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, akiwa na mkewe kwa ajili ya kula bata baada ya kupata mapumziko ya muda mfupi.   Aussems atakuwa katika hifadhi hiyo mpaka kesho ambapo atapata nafasi ya kujionea vivutio