Ndege ya Tanzania yaachiliwa Afrika Kusini, Dkt. Ndumbaro athibitisha ”Tunashangaa alijuaje hukumu hii itatoka dhidi yake”

Posted by - September 4, 2019

Msemaji wa Serikali Tanzania, Dk. Hassan Abbas athibitisha kuwa Mahakama Kuu ya Gauteng, Afrika Kusini, leo imetoa hukumu na kuamuru kuwa ndege ya Air Tanzania iliyokuwa ikishikiliwa nchini humo iachiwe na mlalamikaji alipe gharama za kesi. Tunawashukuru wote kwa uvumilivu wenu. Kwa upande wake Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Dkt. Ndumbaro amtoa maelezo kuhusu

Aslay x Alikiba-Bembea(Official Music Video) Skiza*811*86#

Posted by - September 4, 2019

For Skiza*811*86# #Aslay duels with #Alikiba to bring you a hit tune like never before, Enjoy… #Bembea Available Worldwide For Bookings: aslayisiaka@gmail.com | chambusob@gmail.com Follow Aslay on: Follow Alikiba Facebook: www.facebook.com/OfficialAlikiba Twitter: @OfficialAlikiba Instagram: @OfficialAlikiba source

XENOPHOBIA: Wananchi Nigeria waliamsha dude mitaani, Wachoma ofisi za makampuni kutoka Afrika Kusini, Rais wao atoa tamko (+Video)

Posted by - September 4, 2019

Raia wa Nigeria wameanza kuandamana na kuvunja ofisi za makampuni yaliyopo nchini mwao yanayomilikiwa na raia wa Afrika Kusini. Maamuzi hayo yamekuja katika kipindi ambacho, Raia wengi wa Nigeria wanaofanya biashara nchini Afrika Kusini kupigwa na kuchomewa maduka yao na wazawa wa taifa hilo. Matawi ya makampuni ya Multichoice na MTN nchini Nigeria ni moja

JAMES Z – Drugs [Concept Music Video #1]

Posted by - September 4, 2019

listen and download Drugs : [français] : La chaleur et la simplicité de la drogue scénique vs. Le froid et la noirceur des autres Extrait de l’EP “J&P” – dispo sur toutes les plateformes : James Z : [english] : The warmth and simplicity of the stage addiction vs. the cold and darkness of others