Magnito – End Xenophobia [Video]

Posted by - September 4, 2019

Following the on-going activities happening in the country, Magnito decided to come up with another interesting video ‘End Xenophobia’. Watch, comment, and share. Curated by source

Lissu Asogeza Mbele Tarehe ya Kurejea Tanzania

Posted by - September 4, 2019

Lissu Asogeza Mbele Tarehe ya Kurejea Tanzania September 4, 2019 by Global Publishers ALIYEKUWA Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amesema hatarejea Tanzania Septemba 7, 2019 kama ilivyopangwa badala yake atasubiri ruhusa ya madaktari wanaomtibu. Lissu ametoa kauli hiyo jana Jumanne Septemba 3, 2019 katika mahojiano na Shirika la Utangazaji Uingereza (BBC), alipoulizwa lini

Polisi Yasema ‘Mchawi’ Aliyedondoka Juu ya Paa ni Kiki ya Mchungaji

Posted by - September 4, 2019

Polisi Yasema ‘Mchawi’ Aliyedondoka Juu ya Paa ni Kiki ya Mchungaji September 4, 2019 by Global Publishers JESHI la Polisi mkoani Iringa, limesema kuwa limebaini tukio lililotokea la mchawi kudondoka juu ya paa la nyumba ya Mchungaji eneo la Ilula ni la kutengenezwa, mwanamke huyo alilipwa pesa ili kutengeneza sakata hilo. Kamanda wa Polisi mkoani

Ashitaki Majirani Akikerwa kwa Harufu ya Nyama-Choma

Posted by - September 4, 2019

Ashitaki Majirani Akikerwa kwa Harufu ya Nyama-Choma September 4, 2019 by Global Publishers MWANAMKE mmoja nchini Australia amewafungulia mashitaka mahakamani majirani zake kwa kuchoma nyama. Mwanamke huyo Cilla Careden kutoka jijini Perth,  amedai kuwa shughuli za majirani zake za uchomaji nyama, uvutaji wa sigara na kelele za watoto zinavunja sheria za makazi ya watu. Hata

Burna Boy, Tiwa Savage Kutokanyaga Sauzi

Posted by - September 4, 2019

Burna Boy, Tiwa Savage Kutokanyaga Sauzi September 4, 2019 by Global Publishers MWANAMUZIKI wa miondoko ya Afrobeat nchini Nigeria, Damini Ogulu maarufu kama Burna Boy, ameapa kutokanyaga ardhi ya Afrika Kusini baada ya kutokea ghasia dhidi ya raia wa kigeni. Kupitia ukurasa wake wa Twitter Burna Boy ame-tweet akisema hajawahi kukanyaga nchini Afrika Kusini tangu

Rais Magufuli awasamehe Makamba na Ngeleja ”Walinitukana na nikahakikisha sauti zile ni zao 100%, nimewasamehe”(+Video) 

Posted by - September 4, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli hii leo siku ya Jumatano ameamua kuwasamehe Mh Januari Makamba na William Ngeleja. Akizungumza katika mkutano huo mkuu wa wadau wa sekta zote za ujenzi nchini Rais Magufuli amesema siku za hivi karibuni wapo watu ambao walimtukana wakiwemo Mh Januari Makamba na William Ngeleja

WENYE YANGA YAO WAFANYA MAKUBWA

Posted by - September 4, 2019

NA NYEMO MALECELA YANGA wanatarajia kutua Mwanza hii leo tayari kuanza kambi kwa ajali ya maandalizi ya michuano ya kimataifa pamoja na Ligi Kuu Bara, lakini wanachama na mashabiki wa klabu hiyo wanaonekana kuwa tofauti kidogo. Kinachotokea ni kwamba, licha ya ziara hiyo kuandaliwa na wadau wa klabu hiyo mjini

JPM: Nimewasamehe Makamba na Ngereja – Video

Posted by - September 4, 2019

JPM: Nimewasamehe Makamba na Ngereja – Video September 4, 2019 by Global Publishers   Rais John Magufuli amesema amewasamehe Mbunge wa Bumbuli, January Makamba na Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja kwa kumtukana kwenye simu.   Rais Magufuli amesema hayo leo katika mkutano wa wahandisi na wadau wa sekta ya ujenzi uliofanyika jijini Dar es Salaam

Cannavaro awabeza wanaomponda Molinga – Gazeti la Dimba

Posted by - September 4, 2019

NA WINFRIDA MTOI BEKI wa zamani wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amewatuliza mashabiki wa timu hiyo wanaomponda straika mpya wa kikosi hicho, David Molinga na kusema hawajui wachezaji wazuri.Molinga alisajiliwa na Yanga msimu huu kutoka FC Lupopo ya DR Congo na mechi yake ya kwanza ya mashindano ilikuwa Ligi Kuu

Ndege ya Tanzania yaachiliwa Afrika Kusini, Dkt. Ndumbaro athibitisha ”Tunashangaa alijuaje hukumu hii itatota dhidi yake”

Posted by - September 4, 2019

Msemaji wa Serikali Tanzania, Dk. Hassan Abbas athibitisha kuwa Mahakama Kuu ya Gauteng, Afrika Kusini, leo imetoa hukumu na kuamuru kuwa ndege ya Air Tanzania iliyokuwa ikishikiliwa nchini humo iachiwe na mlalamikaji alipe gharama za kesi. Tunawashukuru wote kwa uvumilivu wenu. Kwa upande wake Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Dkt. Ndumbaro amtoa maelezo kuhusu