Faiza bado kafa kaoza kwa Mbunge Sugu

Posted by - September 4, 2019

NA JESSCA NANGAWE MWANADADA Faiza Ally amefunguka kuwa mara baada ya kuona mzazi mwenzie Joseph Mbilinyi amefunga ndo aliangusha kilio kikali ili kuonyesha hisia zake za kuumizwa na jambo hilo. Sugu ambaye ni Mbunge wa Mbeya Mjini alifunga ndoa hiyo Jumamosi iliyopita katika Kanisa Katoliki la Ruanda Mkoani Mbeya na

BREAKING: Ndege ya ATCL Yaachiwa, Mlalamikaji Kulipa Gharama za Kesi – Video

Posted by - September 4, 2019

BREAKING: Ndege ya ATCL Yaachiwa, Mlalamikaji Kulipa Gharama za Kesi – Video September 4, 2019 by Global Publishers  MAHAKAMA Kuu ya Gauteng, Afrika Kusini, leo imetoa hukumu na kuamuru  ndege ya Air Tanzania iliyokuwa ikishikiliwa nchini humo iachiwe na mlalamikaji alipe gharama za kesi.    “…Hoja zote zilizotolewa na mawakili wetu zimeshinda, na tumeshinda kesi

Stars, Fyeka Burundi songa mbele

Posted by - September 4, 2019

TUNACHOTAKIWA kuomba Watanzania kwa imani zetu ni ushindi kwa timu ya Taifa Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya Burundi katika mchezo utakaopigwa hii leo Jijini Bunjumbura. Ni mchezo wa ugenini ambao Stars inapigania ushindi ili iweze kufuzu kupangwa kwenye makundi yatakayocheza fainali za Kombe la Dunia mwaka 2022, zitakazochezwa Qatar. Baada ya mchezo huo, Stars itarejea

Nafasi 116 za Kazi UTUMISHI (Tume ya Madini), Mwisho wa Kutuma Maombi ni Tarehe 17 September 2019

Posted by - September 4, 2019

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIAPRESIDENT’S OFFICEPUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIATRef.No.EA.7/96/01/K/71 04th September, 2019 VACANCIES ANNOUNCEMENTPublic Service Recruitment Secretariat on behalf of The Mining Commission, invites qualified Tanzanians to fill 116 vacant posts as mentioned hereunder. 1.0 BACKGROUNDThe Mining Commission is established under the Mining Act 2010 as amended by Written Laws (Miscellaneous Amendment) Act 2017. The

BREAKING: Ndege ya ATCL yaachiwa, mlalamikaji kulipa gharama za kesi

Posted by - September 4, 2019

BREAKING: Ndege ya ATCL yaachiwa, mlalamikaji kulipa gharama za kesi September 4, 2019 by Global Publishers  MAHAKAMA Kuu ya Gauteng, Afrika Kusini, leo imetoa hukumu na kuamuru  ndege ya Air Tanzania iliyokuwa ikishikiliwa nchini humo iachiwe na mlalamikaji alipe gharama za kesi.  “…Hoja zote zilizotolewa na mawakili wetu zimeshinda, na tumeshinda kesi hiyo, na imeamriwa

Nafasi ya Kazi Logistic Technical Assistant (Warehouse) -Tanzania, Tuma Maombi yako Mapema

Posted by - September 4, 2019

Logistic Technical Assistant (Warehouse) (Tanzania Nationals Only) -Tanzania Norwegian Refugee CouncilThe Norwegian Refugee Council (NRC) is a non-governmental, humanitarian organization with 60 years of experience in helping to create a safer and more dignified life for refugees and internally displaced people. NRC advocates for the rights of displaced populations and offers assistance within the shelter,

#Bembea Trailer, Aslay/Alikiba

Posted by - September 4, 2019

#Aslay duels with #Alikiba to bring you a hit tune like never before, Enjoy… #Bembea Official Video For Bookings: aslayisiaka@gmail.com | chambusob@gmail.com Follow Aslay on: Follow Alikiba Facebook: www.facebook.com/OfficialAlikiba Twitter: @OfficialAlikiba Instagram: @OfficialAlikiba source

Nafasi ya Kazi Driver – British High Commission, Mwisho wa Kutuma Maombi ni Tarehe 17 September 2019

Posted by - September 4, 2019

Driver S1 (11/19 DAR) – AU The British Government is an inclusive and diversity-friendly employer. We value difference, promote equality and challenge discrimination, enhancing our organisational capability. We welcome and encourage applications from people of all backgrounds. We do not discriminate on the basis of disability, race, colour, ethnicity, gender, religion, sexual orientation, age, veteran

DSTV Wazindua Punguzo la Bei Kwa Vifurushi Kwa Kishindo Dar -Video

Posted by - September 4, 2019

DSTV Wazindua Punguzo la Bei Kwa Vifurushi Kwa Kishindo Dar -Video September 4, 2019 by Global Publishers Kampuni ya MultiChoice Tanzania kupitia huduma zake za DStv usiku wa Septemba 3.09.2019 imezindua punguzo la bei kwa vifurushi vyake katika hoteli ya The Terrence Slipway jijini Dar es Salaam. Wateja wamepokea kwa furaha hatua hiyo hasa ikizingatiwa

Koletha aeleza alivyosahau gari baa

Posted by - September 4, 2019

Koletha aeleza alivyosahau gari baa September 4, 2019 by Global Publishers WAKATI wengi wakisahau vitu kama simu, funguo na vinginevyo kwa staa wa filamu za Kibongo, Koletha Raymond ametoa kali baada ya kueleza jinsi alivyosahau gari baa.  Koletha aliiambia Za Motomoto ya Risasi, kuwa siku hiyo alikwenda baa kunywa pombe akiwa na gari lake na