Kaseja awatishia amani Burundi – Global Publishers

Posted by - September 4, 2019

Kaseja awatishia amani Burundi September 4, 2019 by Global Publishers KIKOSI cha timu ya taifa, Taifa Stars kinashuka uwanjani leo hii kupambana na Burundi katika mchezo wa kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Dunia zitakazochezwa 2022 huko nchini Qatar.   Hata hivyo, kipa wa timu hiyo, Juma Kaseja ameliambia Championi Jumatano kuwa kutokana na maandalizi

Aussems Awapiga Mkwara Mzito Nyoni, Wawa

Posted by - September 4, 2019

Aussems Awapiga Mkwara Mzito Nyoni, Wawa September 4, 2019 by Global Publishers KOCHA mkuu wa Simba, Patrick Aussems, amewashukia mabeki wake Muivory Coast Pascal Wawa na Erasto Nyoni kwa kuwaambia kwa msimu huu hataki kuona timu hiyo ikifungwa mabao ambayo yanaiharibia timu hiyo kuondoka bila ya kufungwa kwenye mechi zao.   Kocha huyo amezungumza hayo

Dogo Janja, Namtamani Sana Vee Money

Posted by - September 4, 2019

Dogo Janja, Namtamani Sana Vee Money September 4, 2019 by Global Publishers MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Abdulaziz Chande ‘Dogo Janja’ ameweka wazi mapenzi yake kwa mwanamuziki mwenziye Vannessa Mdee ‘Vee Money’ kuwa ndiyo mwanamuziki anayemtamani sana kufanya naye kolabo.   Akipiga stori na Risasi Vibes, Dogo Janja alisema kila mwanamuziki anaamini akifanya kazi na mwanamuziki

WINGA MSUMBUFU YANGA NI HUYU

Posted by - September 4, 2019

NA MWAMVITA MTANDA UNAMKUMBUKA yule winga wa Yanga, Simon Msuva, jinsi alivyokuwa akiwasumbua mabeki hapa nchini? Basi habari njema ni kwamba jembe lingine la aina hiyo linatarajia kutua kwa Wanajangwani hao. Unaambiwa uwezo wake dimbani na kasi yake ya kutumia miguu yake huenda ikawalazimu wachezaji wenye majina pale Yanga kusubiri kwanza na yeye kupewa nafasi

Bi Samia Amuwakilisha Rais JPM Kuaga Mwili wa Kaduma – Video

Posted by - September 4, 2019

Bi Samia Amuwakilisha Rais JPM Kuaga Mwili wa Kaduma – Video September 4, 2019 by Global Publishers Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan jana Septemba 3, 2019, amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe magufuli kwenye Shuhuli ya kuaga Mwili wa Mwanasiasa Mkongwe Nchini

Rasmi Ajib pacha wa Kagere

Posted by - September 4, 2019

NA MWANDISHI WETU EMMANUEL Okwi hayupo tena Simba, John Bocco majeruhi, kukosekana kwao ilitarajiwa Deo Kanda kuvaa vema viatu vyao, lakini bado anaoneakana kuwa na mwendo wa kinyonga na sasa ni zamu ya Ibrahim Ajib. Hatua hiyo inatokana na aina ya mazoezi yaliyokuwa yakiendelea viwanja vya Gymkana jijini Dar es Salaam siku tatu kabla ya

Esha,Mapenzi ya Ebitoke, Mlela siyo kiki

Posted by - September 4, 2019

Esha,Mapenzi ya Ebitoke, Mlela siyo kiki September 4, 2019 by Global Publishers MWANAMAMA anayefanya vizuri kunako Bongo Muvi, Esha Buheti amesema mapenzi ya msanii mwenzake Yusuph Mlela na mchekeshaji, Anastazia Exavery ’Ebitoke’ ni kweli na siyo kiki kama ambavyo watu wanadhani. Akibonga na Za Motomoto ya Risasi, Esha alisema amekuwa karibu kwa kipindi kirefu na

LIVE: Rais Magufuli Akutana na Wahandisi na Wadau wa Ujenzi – Video

Posted by - September 4, 2019

LIVE: Rais Magufuli Akutana na Wahandisi na Wadau wa Ujenzi – Video September 4, 2019 by Global Publishers Rais Dkt. John Magufuli leo Sept. 4, 2019 amekutana na wahandisi na wadau wa sekta ya ujenzi katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam, mkutano huo pamoja na mambo mengine utajadili masuala mbalimbali yanayohusu sekta

Nafasi ya Kazi Finance & Accounting Manager – Shinyanga, Tuma Maombi yako Mapema

Posted by - September 4, 2019

Position Title: Finance & Accounting ManagerManager Position: Country DirectorDirect Reporting Positions: Accounts AssistantPosition Location: Shinyanga, Tanzania (with regular travel to the project areas)Lifewater International (Lifewater) is a Christian water development organization dedicated to effectively serving children and families by partnering with underserved communities to overcome water poverty. Motivated by our faith in Jesus Christ, we