Nafasi ya Kazi Country Director – Norwegian Church Aid Tanzania, Tuma Maombi yako Mapema

Posted by - September 4, 2019

Country Director – Tanzania Norwegian Church Aid (‘NCA’) is one of the largest aid organisations in the Nordic region. We are there in disasters and emergencies to provide water and critical assistance to those affected. Together with our international network and partner organisations in the ACT Alliance we are able to reach millions of people

Kushuka kwa bei za DStv gumzo kila kona (+Video)

Posted by - September 4, 2019

Siku chache tu baada ya DStv kutangaza kufyeka bei za vifurushi vyake, wateja wamepokea kwa furaha hatua hiyo hasa ikizingatiwa kuwa punguzo hilo kubwa la bei haliathiri maudhui katika vifurushi vya DStv. Bei hizo mpya zilizoanza kutumika tarehe 1, Septemba zimepungua kwa kiasi kikubwa huku baadhi ya vifurushi ikiwa ni punguzo la zaidi ya 30%

Nafasi ya Kazi Project Executant – WWF, Tuma Maombi Kabla ya Tarehe 16 September 2019

Posted by - September 4, 2019

PROJECT EXECUTANT World Wide Fund for Nature (WWF) Dar es salaam 03/09/19 -16/09/19 DescriptionsThe World Wide Fund for Nature (WWF), is an International Non-Governmental Organization that deals with conservation of nature through a number of environmental management programmes.Our mission is to stop the degradation of the Planet’s natural environment and to build a future in

EP | Tony Cousin – Kuwa Mimi | Download

Posted by - September 4, 2019

Tony Cousin – Kuwa Mimi  DOWNLOAD Listen to Tony Cousin – kuwa mimi byDJ Mwanga on hearthis.at Tony Cousin – PIGA KIMYA DOWNLOAD Tony Cousin – WanawashwaDOWNLOAD Listen to Tony Cousin – wanawashwa byDJ Mwanga on hearthis.at Source link

Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani aahidi kuisaidia Sudan

Posted by - September 4, 2019

Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Heiko Maas ameahidi leo kukiunga mkono kipindi cha mpito cha kuingia kwenye demokrasia akisema katika kipindi hiki nchi hiyo na uongozi wake wa kisiasa inahitaji uungaji mkono wa Ujerumani na Umoja wa Ulaya. Maas ameyazungumza hayo akiwa mjini Khartoum alikowasili leo asubuhi katika ziara yake ya kwanza ya

Nafasi Mbalimbali za Kazi I&M Bank (T) Ltd, Tuma Maombi Kabla ya Tarehe 13 September 2019

Posted by - September 4, 2019

JOB OPPORTUNITIES I&M Bank (T) Ltd Dar es salaam 31/08/19 -13/09/19 DescriptionsI&M Bank (T) Ltd, a subsidiary of I&M Group which has presence in Kenya, Tanzania,Rwanda and Mauritius invites applications from suitably qualified candidates to fill the following available positions. JOB TITLE: SENIOR MANAGER – PRIORITY BANKINGREPORTS TO: HEAD OF RETAIL BANKINGJOB PURPOSE:Responsible for providing

Kijana mmoja aelezwa kupofuka kwa kula vibanzi na chips

Posted by - September 4, 2019

Wataalamu wanaonya juu ya hatari mbaya za kula vyakula visivyo na virutubisho vya mwili baada ya kijana mmja kupoteza uwezo kabisa wa kuona kwa kuishi kwa kula chips na vibanzi . Madaktari wa macho mjini Bristol walimtibu kijana mwenye umri wa miaka 17-baada ya uwezo wake wa kuona kuwa mbaya hadi kupofuka wanasema. Tangu alipomaliza

Nafasi ya Kazi Technical Experts – ACDI/VOCA, Tuma Maombi yako Mapema

Posted by - September 4, 2019

Position: Technical Experts in Tea, Coffee, and Horticulture, TanzaniaJob Location TZ-Various Type Long-term Technical Experts, TanzaniaACDI/VOCA is seeking technical experts for an upcoming opportunity in Tanzania as part of a technical assistance team under the Agri-Connect: Supporting Value Chains for Shared Prosperity program funded by EuropeAid. The overall objective of the program is to contribute

Ndugai Atangaza Utaratibu Mpya wa Kidigitali Bungeni

Posted by - September 4, 2019

Ndugai Atangaza Utaratibu Mpya wa Kidigitali Bungeni September 4, 2019 by Global Publishers SPIKA wa Bunge la Tanzania Job Ndugai, amesema Bunge lina mpango wa kuacha kutumia mfumo wa sasa wa makaratasi Bungeni, kwa ajili ya kuwapa Wabunge nyaraka mbalimbali, watakachofanya sasa ni kuhamia katika mfumo wa Digitali, kwa kuwawekea kupitia kwenye simu zao.