Kifo Mikononi Mwangu (Sehemu ya 6)

Posted by - September 4, 2019

Kifo Mikononi Mwangu (Sehemu ya 6) September 4, 2019 by Global Publishers   ILIPOISHIA WIKIENDA… “Alikuja, lakini Matilida hakuwepo. Akatuuliza sisi tukamwambia Matilida anaumwa. Sasa hatuji kama alimfuata nyumbani kwake.” Kwa vile picha ya mtu tuliyekuwa tunamtuhumu ukiacha ile ya Charles niliingiza kwenye simu yangu, nilifungua simu na kumuonesha ile picha. “Ni huyu hapa?” Nikamuuliza.

Tigo yazindua huduma ya Home Internet

Posted by - September 4, 2019

Tigo yazindua huduma ya Home Internet September 4, 2019 by Global Publishers WATEJA wa kampuni ya mawasiliano, Tigo,  kwa mara ya kwanza watapata fursa ya kufurahia huduma ya Home Internet yenye kasi ya 4G+ majumbani mwao. Huduma hii ni ya kwanza na ya kipekee Tanzania, yenye ubunifu wa hali ya juu itakayowafanya wateja wafurahie intaneti ya

Tanasha: Sina Usista Duu Kwenye Kulea

Posted by - September 4, 2019

Tanasha: Sina Usista Duu Kwenye Kulea September 4, 2019 by Global Publishers MASTAA wengi wanapokuwa wanalea wanaweka ustaa mbele na kusahau kwamba washakuwa mama, ishu hizo ndizo hataki kuzisikia kabisa mpenzi wa sasa wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Tanasha Donna na kusema usista du hana muda nao kwenye malezi. Akizungumza na

Kifo Mikononi Mwangu (Sehemu ya 5)

Posted by - September 4, 2019

Kifo Mikononi Mwangu (Sehemu ya 5) September 4, 2019 by Global Publishers ILIPOISHIA IJUMAA… KUNA mtu mwingine aliyekuwa amepiga picha akiwa na msichana huyo katika pozi lililoonesha kuwa alikuwa mpenzi wake. Tukashuku kuwa huyo aliweza kuwa mpenzi wake aliyetueleza yule mjumbe ambaye alituambia kuwa alikuwa hamuoni kwa wiki tatu hivi. Tukahisi kwamba atakuwa amesafiri au

Mwenye nyumba hanyimwi chakula – Global Publishers

Posted by - September 4, 2019

Mwenye nyumba hanyimwi chakula September 4, 2019 by Global Publishers PAAAMBEEE shoga tumekutana tena kwenye kona yangu mimi shangingi mstaafu mwingine fotokopi, nasikia kuna watu wanajiita mashangingi wastaafu sifa yao kubwa kunywa pombe za watu na kuambulia kipigo mikovu kibao kama kibaka mzoefu, heee heeeiyaaaa!  Shoga leo nimelikoka likakolea! Nimelivalia dera lazima niiname nilichekeze, upo?

Magazeti ya Tanzania Leo Jumatano, Septemba 4, 2019

Posted by - September 4, 2019

Magazeti ya Tanzania Leo Jumatano, Septemba 4, 2019 September 4, 2019 by Global Publishers Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 4, 2019. Ni yale ya Hardnews, Udaku na Michezo. Usipitwe na Matukio, Install App Yako ya Kijanja na Namba Moja Tanzania ya Global Publishers   Loading…