local

TAARIFA: Jopo la wataalam 7 lamtoa Askofu Ruwa’ichi ICU, Watanzania waombwa waendelee kumuombea

By

on

Afya ya Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Yuda Thadei Ruwa’ichi imeanza kuimarika ambapo leo Septemba 16, 2019 ametolewa ICU na kupelekwa wodi ya kawaida baada ya jopo la wataalamu saba wanaomuhudumia kujiridhisha.

The post TAARIFA: Jopo la wataalam 7 lamtoa Askofu Ruwa’ichi ICU, Watanzania waombwa waendelee kumuombea appeared first on Bongo5.com.

Posted from

About erick

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *