local

”Sio timu ya kubeza/ ndiyo maana Mwinyi Zahera akasema tunakwenda kupambana nao” – Nugaz (+video) 

By

on

Msemaji wa klabu ya Yanga SC, Antonio Nugaz amesema kuwa timu ya Pyramid ambao ni wapinzani wao watakao ambao wanatarajia kucheza nao tarehe 27 ya mwezi huu jijini Mwanza katika michuano ya kombe la Shiriko, sio wa kubezwa hata kidogo hasa kutokana na uwekezaji waliyofanya hivyo wana kilasababu ya kujipanga vizuri kuhakikisha wanachomoza na pointi tatu muhimu katika Uwanja wa nyumbani.

Posted from

About erick

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *