local

Yanga yatoa sabau ‘game’ yao dhidi ya Waarabu kupelekwa Mwanza”Mambo ya Kiufundi” (+video)

By

on

Mabingwa wa kihistoria wa ligi kuu soka Tanzania Bara na wawakilishi pekee kwenye michuano ya Kimataifa Young Africans SC imetoa ufafanuzi juu ya sababu za mchezo wao wa kombe la Shirikisho dhidi ya Pyramid kupigwa jijini Mwanza katika dimba la CCM Mkirumba badala ya uwanja wa Taifa Dar es salaam kama ilivyozoeleka. Klabu hiyo yenye maskani yake mitaa ya Jangwani pia imetaja viingilio vya mchezo huo Tsh 70,000, 50, 000 na elfu 1o.

Posted from

About erick

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *