Nunua Gazeti la CHAMPIONI na RISASI Kirahisi Zaidi Hapa

Posted by - January 31, 2020

Nunua Gazeti la CHAMPIONI na RISASI Kirahisi Zaidi Hapa January 31, 2020 by Global Publishers Jipatie nakala ya Gazeti la CHAMPIONI na Gazeti la RISASI kirahisi zaidi popote ulipo, ndani ya nje ya Tanzania kwa Tsh 300/ Toa comment Posted from

Z Anto ageuka somo wa ndoa “Mchepuko unajua kuhudumia kuliko mke” (Video)

Posted by - January 31, 2020

Msanii wa muziki Z Anto baada ya kufanya vizuri na wimbo wake mpya, MakoStamina akiwa amemjibu Stamina ambaye aliachia wimbo wake ‘Asiawaze’ ambao ulionyesha jinsi rapa huyo alivyoachana vibaya na aliyekuwa mke wake, Ijumaa hii amefunguka mambo mengi hukusu ndoa na kutoa funzo kwa vijana ambao kwa sasa wanaingia kwenye maisha ya ndoa. Posted from