local

Mzungu Kichaa Amfagilia P Funk Majani Kwa Kukuza Muziki Bongo – Video

By

on

Mzungu Kichaa Amfagilia P Funk Majani Kwa Kukuza Muziki Bongo – Video

Msanii wa Bongo mwenye asili ya Ulaya, Mzungu Kichaa akifanya mahojiano na Bongo 255.

MSANII wa Bongo mwenye asili ya Ulaya, Mzungu Kichaa, leo  Jumanne 14, 2019 amefanya mahojiano na kipindi cha Bongo 255 kinachoruka kupitia +255 Global Radio kila siku ya Jumatatu mpaka Ijumaa zilizopo kwenye jengo la Global Group Sinza Mori jijini Dar   amesema nchini zaidi  miaka 10  na anampongeza prodyuza Paul Matthysse anayejulikana kwa jina la P Funk Majani kwa mchango wake mkubwa katika mziki wake na amemfanya kueleweka katika jamii ya Kitanzania kupitia ngoma yake ya ‘You Got Me’ na nyinginezo.

Pia amewaomba wasanii wenzake kutokuwa wavivu kwenye kazi zao na wawe wabunifu kutoa kazi zilizo bora kukuza muziki wa kitanzania.

…Akiendelea na mahojiano.

…Akiwa na watangazaji wa Bongo 255 kinachoruka kupitia +255 Global Radio kila siku ya Jumatatu mpaka Ijumaa.

Mhariri wa Risasi Mchanganyiko na Risasi Jumamosi, Erick Evarist (kulia) akimkabidhi Gazeti la Uwazi Mzungu Kichaa.

Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Global Publishers, Saleh Ally (kulia) akisalimiana na Mzungu Kichaa.

…Wakiongea jambo.

… Mzungu Kichaa akiagana na Saleh Ally.

 
Loading…

Toa comment

Posted from

About erick

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *