Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Masauni ahojiwa na TAKUKURU (Picha)

Posted by - February 1, 2020

aibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni ni miongoni mwa viongozi wanaohojiwa kutokana na agizo la Rais Magufuli kuitaka Takukuru kuwahoji wale wote waliohusika na mkataba aliodai una harufu ya ufisadi. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni akitoka katika Ofisi za TAKUKURU Dodoma baada ya kuhojiwa. Masauni amefika

Watanzania 4000 wanaoishi China wathibitishiwa usalama dhidi ya virusi vya Corona

Posted by - February 1, 2020

Serikali ya Tanzania na China zimetoa tamko la pamoja kuhusu hali za Watanzania walioko nchini China na hatua zinazochukuliwa na nchi hiyo kukabiliana na virusi vya Corona. Balozi wa China hapa Nchini, Wu Ke amewaondoa wasiwasi Watanzania wote wakiwemo Wazazi na Ndugu wa wanafunzi zaidi ya 4000 hususani wanafunzi 400 walioko Hubei katika Mji wa

RIPOTI: Helicopter aliyopata nayo ajali Kobe Bryant haikuwa na uwezo wa kusafiri sehemu zenye ukungu

Posted by - February 1, 2020

Shirika la Island Express Helicopters linalomiliki helikopta iliyombeba mchezaji mpira wa kikapu Kobe Bryant, binti yake na watu wengine 7 wakati iliyoanguka, halikuwa na ruhusa ya ndege zake kusafiri katika sehemu zenye ukungu, maafisa wamesema. Shirika la Island Express lilikuwa na ruhusa ya ndege zake kusafiri wakati rubani anaweza kuona vizuri kule anakoelekea na hali

Mreno wa Benfica Atua Yanga Kufanya Mabadiliko (Video +Picha)

Posted by - February 1, 2020

Mreno wa Benfica Atua Yanga Kufanya Mabadiliko (Video +Picha) February 1, 2020 by Global Publishers KLABU ya Yanga  leo Jumamosi Feburuari 1, 2020 wamemshusha, Carraca Antonio Domingos Pinto raia wa Ureno kwaajili ya kusimamia mfumo wa uendeshaji wa klabu yao.   “Ukiangalia wasifu wake utaona kabisa kwamba huyu jamaa ni wa namna gani, alipita Benfica

Global Habari Feb 01: Serikali Imeboresha Kanuni Za Mazingira – Video

Posted by - February 1, 2020

Global Habari Feb 01: Serikali Imeboresha Kanuni Za Mazingira – Video February 1, 2020 by Global Publishers Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mussa Sima amesema Serikali imeboresha Kanuni za Usimamizi Elekezi wa Mazingira ili kurahisisha na kuharakisha utoaji wa vibali vya tathmini ya mazingira. Sima ametoa kauli hiyo bungeni Dodoma

Mchomvu Awafungukia Diamond, AliKiba Amtaja Mr Blue

Posted by - February 1, 2020

Mchomvu Awafungukia Diamond, AliKiba Amtaja Mr Blue February 1, 2020 by Global Publishers MTANGAZAJI wa kipindi cha XXL cha Clouds Fm na Mwanamuziki, Adam Mchomvu, jana amefanya mahojiano na kipindi cha Bongo 255 kinachoruka kupitia +255 Global Radio iliyopo katika mjengo wa Global Group, Sinza-Mori jijini Dar es Salaam ambapo amefungukia mambo mbalimbali ikiwemo muziki