DAPPERKEED STUDIO SESSION VIDEO

Posted by - February 2, 2020

This video was recorded during dapperkeed freestyle session video shot by sliq narly Video Edited by Kelvin jakes ( prod by alvin brown beats) (mixed and masterd by kabz) Catch Up With Dapperkeed On: Instagram: Facebook: Twitter: kindly like and subscribe DAPPERKEED pull up pull up dapper keed pull up gospel dancehall freestyle recording session

Yanga Yaipiga Mtibwa Sugar Bao 1-0, Molinga Atupia

Posted by - February 2, 2020

Yanga Yaipiga Mtibwa Sugar Bao 1-0, Molinga Atupia February 2, 2020 by Global Publishers Bao pekee la mshambuliaji David Molinga limetosha kuipa Yanga ushindi 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.   Molinga alifunga bao hilo pekee katika dakika 50, akiunganisha vizuri krosi ya Ditram Nchimbi na kuihakikishia Yanga pointi

Nyie Mna Mghana, Sisi Tuna Mbrazil

Posted by - February 2, 2020

Nyie Mna Mghana, Sisi Tuna Mbrazil February 2, 2020 by Global Publishers MASHABIKI wa Simba ambao jana walijitokeza katika Uwanja wa Taifa, Dar, walikuwa na kazi moja tu ya kuwajibu wenzao wa Yanga kuwa ‘Nyie mna Mghana, sisi tuna Mbrazili mabao.’   Jeuri hiyo ya mashabiki hao waliipata baada ya kiungo wao, Gerson Fraga raia

SHAVU – TEN BALLZ [TEASER VIDEO]

Posted by - February 2, 2020

SHAVU Available Now! Download + Stream: Distributed by: Dapstrem Entertainment ( GET YOUR SONG or MIXTAPE ON THIS CHANNEL +254798812947 / dapstrem@gmail.com Follow Dapstrem Entertainment: Facebook: Instagram: Twitter: YouTube: SoundCloud: SnapChat: Google Plus: Contact: 📧 dapstrem@gmail.com 📞 +254 798-812947 Best regards, Dapstrem Entertainment source

Video: RC Mghwira Aeleza Mwamposa Alivyokimbia Baada Ya Watu Kufariki

Posted by - February 2, 2020

Video: RC Mghwira Aeleza Mwamposa Alivyokimbia Baada Ya Watu Kufariki February 2, 2020 by Global Publishers Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira leo Feburuari 2, 2020 amezungumza na waandishi wa habari na kueleza namna waliyomsaka Mtume Mwamposa jana baada ya tukio bila mafanikio huku akikwepa usafiri wa ndege aliotegemewa kuondoka nao. Toa comment Posted