Januari Ilikuwa Nyepesiiiii Kwa Real Madrid

Posted by - February 4, 2020

Januari Ilikuwa Nyepesiiiii Kwa Real Madrid February 4, 2020 by Global Publishers VIPI Januari ilikuwaje kwako? Watu wengi wanasherehekea kuvuka mwezi Januari ambao kwa wengi huwa ni mgumu lakini Real Madrid, huo ulikuwa ni mwezi rahisi zaidi kwao.   Wakati wengine wakilia mwezi mgumu, kwa Real Madrid ilikuwa ni tofauti, waliteleza kiulaini tu katika kipindi

Juve Yataka Kumng’oa Van Dijk Liverpool

Posted by - February 4, 2020

Juve Yataka Kumng’oa Van Dijk Liverpool February 4, 2020 by Global Publishers HUKO ughaibuni, taarifa inayosambaa kwa kasi ni Juventus kujipanga kumng’oa beki wa Liverpool, Virgil van Dijk katika dirisha lijalo la usajili wa majira ya joto barani Ulaya.   Taarifa iliyoandikwa na Gazeti la The Sun la Uingereza jana, ilieleza kuwa Juve wamemtengea beki

Serikali Kupanda Miti Bilioni 1 Mlima Kilimanjaro

Posted by - February 4, 2020

Serikali Kupanda Miti Bilioni 1 Mlima Kilimanjaro February 4, 2020 by Global Publishers SERIKALI imeandaa programu mbalimbali za kutunza mazingira ikiwa ni pamoja na kupanda miti zaidi ya bilioni moja katika eneo la Mlima Kilimanjaro ili kukabiliana na matatizo ya mabadiliko ya tabia nchi.   Akijibu swali leo Bungeni jijini Dodoma, Waziri wa Nchi, Ofisi

Shetta ammwagia sifa Harmonize “Nimemuona tangu anaanza muziki, Kugombea Ubunge umri unaruhusu” – Video

Posted by - February 4, 2020

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @officialshetta Afunguka na kumpongeza @harmonize_tz kwa kitu anachoendelea kukifanya katika jamii lakini pia ushirikiano anaoendelea kuuonyesha Kwa wasanii wenzake. “Nimemuona @harmonize_tz tangua akiwa hajaanza kuonekana kwenye muziki nyimbo yake ya kwanza nilimsaidia kuisambaza, Ni msanii anayefanya vizuri kwa sasa. Mbali na hilo @officialshetta ameeleza juu ya Project zake anazoendelea kuzifanya ambapo anaendelea kufanya

AUDIO | Tom Dee – NAOGOPA | Download

Posted by - February 4, 2020

Home Audio AUDIO | Tom Dee – NAOGOPA | Download February 4, 2020 Previous articleAUDIO | Moni Centrozone – GODORO JIKO NA SABUFA | Download Source link