Afariki Akizungumza naSimu Kwenye Chaji

Posted by - February 6, 2020

Afariki Akizungumza naSimu Kwenye Chaji February 6, 2020 by Global Publishers Vumilia Kitang’enyi (19), mkazi wa Serengeti amekufa wakati akizungumza na simu aliyokuwa ameichomeka kwenye chaji, Jumatano Februari 5, 2020.   Taarifa zinadai kuwa, Vumilia alikutwa amekufa akiwa amepiga magoti huku ameshika simu mkono wa kushoto. Amekutwa na majeraha ya kuungua katika shavu la kushoto.

AUDIO | Rosa Ree – Balenciaga | Download

Posted by - February 6, 2020

Home Audio AUDIO | Rosa Ree – Balenciaga | Download February 6, 2020 Previous articleVIDEO | Dj Seven Ft. Young Lunya & Salmin Swaggz – Tunawaka Source link