Ketchup Ft Flavour – Sweet x Dj Akme Coca Cola Fix [Flow Promo] By πŸ‡―πŸ‡² Dj Akme πŸ”₯ πŸ‡ΊπŸ‡¬ πŸ‡³πŸ‡¬ πŸ‡ΈπŸ‡± πŸ‡¬πŸ‡­ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Posted by - February 7, 2020

⏩ SUBSCRIBE βœ… Share / Like πŸ”” GET NOTIFIED new videos! Instagram: @dj_akme Facebook: No Copyright Infringement Intended:- ””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””’ Dj Akme does NOT own this song nor the image(s) featured in the video. All rights belong to their rightful owner/owner’s in this case the Musician(s), Authorized Distributor(s), Artiste Booking Agent and / or Record Lable(s).

Steve Nyerere afunguka baada ya kutangaza kugombea Ubunge Iringa β€œMimi ni scania, Steve ni project kubwa Tanzania” (Video)

Posted by - February 7, 2020

Msanii wa filamu, Steve Nyerere amefunguka kuizungumzia post yake ya kutangaza kugombea Ubunge jimbo la Iringa mjini 2020. Mchekeshaji huyo amedai ana kila sifa ya kuweza kuiongoza Iringa kwa kuwa yeye ni kijana machachari. The post Steve Nyerere afunguka baada ya kutangaza kugombea Ubunge Iringa “Mimi ni scania, Steve ni project kubwa Tanzania” (Video) appeared

Yanga SC Kufutiwa Adhabu na Bodi ya Ligi

Posted by - February 7, 2020

Yanga SC Kufutiwa Adhabu na Bodi ya Ligi February 7, 2020 by Global Publishers ZIKIWA zimepita siku kadhaa baada ya Kamati ya Saa 72 kuiadhibu Yanga kutokana na makosa mbalimbali ikiwemo ya kutumia chumba kisicho rasmi kubadilishia nguo, Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) imesema itawaondolea adhabu hiyo kama ikibainika madai yao yalikuwa sahihi. Yanga katika

Simba Yapigwa na JKT Tanzania Bao 1-0, Adam Adam Apeleka Kilio Simba

Posted by - February 7, 2020

Simba Yapigwa na JKT Tanzania Bao 1-0, Adam Adam Apeleka Kilio Simba February 7, 2020 by Global Publishers MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba na JKT Tanzania umekamilikwa kwa Simba kubanwa mbavu kwa kufungwa bao 1-0. Bao pekee la ushindi limefungwa na Adam Adam dakika ya 24 ya kipindi cha kwanza ambalo limedumu