Ighalo ashindwa kusafiri na Manchester United kisa virusi vya Corona

Posted by - February 8, 2020

Mshambuliaji wa Manchester United Odion Ighalo atakosa mazoezi na klabu hiyo nchini Uhispania kutokana na hofu kwamba virusi vya corona vinaweza kumzuia kuruhusiwa kuingia nchini Uingereza . Ighalo mwenye umri wa miaka 30, alisafiri kuelekea mjini Manchester kutoka China wikendi iliopita baada ya kutia saini kandarasi ya mkopo kutoka klabu ya Shenghai Shenhua. ”Angependelea kujiunga

Trump awafukuza kazi maofisa hawa wawili waliotoa ushahidi kwenye kesi yake

Posted by - February 8, 2020

Rais Donald Trump amewafuta kazi maafisa wawili waandamizi waliotoa ushahidi dhidi yake katika kesi ya kutokuwa na imani naye iliyokuwa inamkabili. Balozi wa Marekani kwa Muungano wa Ulaya, Gordon Sondland, amesema “Nimeambiwa kwamba rais anataka nirudi nyumbani mara moja”. Awali, Luteni kanali Alexander Vindman, mtaalamu mkuu katika masuala ya Ukraine, alisindikizwa kutoka nje ya Ikulu

Thailand: Mwanajeshi awapiga risasi na kuwaua watu 20

Posted by - February 8, 2020

Takriban watu 20 wamefariki baada ya kupigwa risasi kiholela na mwanajeshi mmoja wa Thai katika mji wa Nakhon Ratchasima, maafisa wa polisi wamesema. Msemaji wa wizara ya ulinzi aliambia BBC Thai kwamba Jakraphanath Thomma, afisa wa madaraka ya chini alimshambulia mkuu wake kabla ya kuiba bunduki na risasi kutoka katika kambi ya kijeshi. Baadaye aliwafyatulia

Ujumbe wa aliyekuwa kocha wa Simba Patrick Aussems kwa mashabiki wa klabu hiyo

Posted by - February 8, 2020

Kupitia kurasa zake rasmi za mitandao ya kijamii Aussems ameeleza kuwa anaiheshimu Simba na mashabiki wake wote lakini anawatakia kila la kheri na huenda watakutana tena siku nyingine. ‘Simba ni klabu kubwa, ina wachezaji wakubwa na mashabiki wa aina yake, nawatakia heri na siku moja pengine tutakutana tena’, ameandika. Aussems alitimuliwa na Simba mwishoni mwa

NABII Aliyemtabiria JPM Urais Atabiri Rais Mpya Burundi – Video

Posted by - February 8, 2020

NABII Aliyemtabiria JPM Urais Atabiri Rais Mpya Burundi – Video February 8, 2020 by Global Publishers Kiongozi wa Kanisa la Ufunuo lililopo Kimara Bonyokwa Jijini Dar, Askofu Paul Bendera amezidi kuendeleza kazi yake ya utume na kupandikiza mbegu ya imani kwa mataifa na sasa ametua nchini Burundi ambako amefanya maombi makubwa ya kuimarisha amani nchini

Askofu Bendera Amnenea Mazito Nabii Mwamposa – Video

Posted by - February 8, 2020

Askofu Bendera Amnenea Mazito Nabii Mwamposa – Video February 8, 2020 by Global Publishers Baada tu ya taarifa kusambaa kuhusu tukio kubwa lililoukumba mji wa Moshi na waumini wa kanisa la Inuka Uangaze, kufuatia vifo vya watu 20 waliokuwa wakigombea kupakwa mafuta ya upako na Mtume Boniface Mwamposa, Kiongozi wa Kanisa la Ufunuo, Askofu Paul

Mtoto Baraka ‘Anavyoufumua’ Mfumo wa Fahamu – Video

Posted by - February 8, 2020

Mtoto Baraka ‘Anavyoufumua’ Mfumo wa Fahamu – Video February 8, 2020 by Global Publishers KAMA kawaida yake, mtoto Baraka Shigongo mwenye ufahamu wa hali ya juu wa masuala mbalimbali ya Sayansi ya Afya ya Binadamu, ameendelea kuonesha Ulimwengu kipaji chake kwa kufundisha mambo mbalimbali makubwa yanayohusu afya ya miili yetu.   Leo, Baraka amekuja na

Fahamu Mkojo Wako Unavyotengenezwa, Mtoto Baraka Anakupa Shule! – Video

Posted by - February 8, 2020

Fahamu Mkojo Wako Unavyotengenezwa, Mtoto Baraka Anakupa Shule! – Video February 8, 2020 by Global Publishers MTOTO Baraka Shigongo mwenye ufahamu wa hali ya juu wa masuala mbalimbali ya Sayansi ya Afya ya Binadamu, ameendelea kuonesha Ulimwengu kipaji chake kwa kufundisha mambo mbalimbali makubwa yanayohusu afya ya miili yetu.   Leo, Baraka amekuja na Topic