Fahamu Mkojo Wako Unavyotengenezwa, Mtoto Baraka Anakupa Shule! – Video

MTOTO Baraka Shigongo mwenye ufahamu wa hali ya juu wa masuala mbalimbali ya Sayansi ya Afya ya Binadamu, ameendelea kuonesha Ulimwengu kipaji chake kwa kufundisha mambo mbalimbali makubwa yanayohusu afya ya miili yetu.

 

Leo, Baraka amekuja na Topic mpya inayohusu Nephron. Hii ni sehemu muhimu ya figo inayohusika na uchujaji wa maji, ions na uchafu ambao hautakiwa kuwa kwenye mwili wa binadamu, hivyo kuupeleka kwenye kibofu na kuutoa nje ya mwili kupitia njia ya haja ndogo kama mkojo huku nephron ikichukua vitu vinavyotakiwa na mwili na kuvirudisha kwenye mzunguko wa damu.

Tazama Baraka anavyokudadavulia hapa
Toa comment