Mtoto Baraka ‘Anavyoufumua’ Mfumo wa Fahamu – Video

KAMA kawaida yake, mtoto Baraka Shigongo mwenye ufahamu wa hali ya juu wa masuala mbalimbali ya Sayansi ya Afya ya Binadamu, ameendelea kuonesha Ulimwengu kipaji chake kwa kufundisha mambo mbalimbali makubwa yanayohusu afya ya miili yetu.

 

Leo, Baraka amekuja na Topic nyingine inayohusu mfumo wa fahamu (Nervous System). Hii ni sehemu muhimu ya mwili wa binadamu ambao unahusika na ufahamu wa matendo yote, maamuzi na michakato ya kazi mbalimbali zinazofanyika katika mwili hata pasi na sisi kujua.

 

Tazama Baraka anavyokudadavulia hapa.
Toa comment