Kutoolewa Au Kuchelewa Kuolewa Ni Laana?

Posted by - February 9, 2020

Kutoolewa Au Kuchelewa Kuolewa Ni Laana? February 9, 2020 by Global Publishers KATIKA nyakati tulizonazo, wanawake wengi wanahangaika mno! Wanazunguka na kufuatilia kila semina. Wanakwenda kufunguliwa kwa mitume na manabii. Wanatoa sadaka maalum kanakwamba wanaweza kumhonga Mungu ili wapate waume. Wengine wanalala na mitume na manabii uchwara ili kuondoa mikosi.   Wengine wanakwenda kwa waganga

Eymael: Kwa Ratiba Hii, Tukaze Sana

Posted by - February 9, 2020

Eymael: Kwa Ratiba Hii, Tukaze Sana February 9, 2020 by Global Publishers MBELGIJI Luc Eymael wa Yanga, ameichungulia ratiba yao ya mzunguko wa pili itakavyokuwa, akavuta pumzi kisha akaweka neno moja tu kwamba wanatakiwa kukaza.   Kocha huyo amesema kwamba ratiba hiyo ambayo wataicheza mechi 19 za ligi katika kipindi cha miezi mitatu itakuwa ngumu

Dar es Salaam: Wanyamapori waipamba IKULU (+Video)

Posted by - February 9, 2020

Rasi Dkt John Pombe Magufuli amerejesha Wanyamapori katika bustani za Ikulu jijini Dar Es Salaam. Awali wanyamapori hao walifugwa kwa idadi kubwa na Baba wa Taifa Hayat Mwalimu Nyerere lakini baadae walitoweka The post Dar es Salaam: Wanyamapori waipamba IKULU (+Video) appeared first on Bongo5.com. Posted from

Global Habari Feb 9: Zungu Ateketeza Tani 11.53 Mifuko Hatarishi

Posted by - February 9, 2020

Global Habari Feb 9: Zungu Ateketeza Tani 11.53 Mifuko Hatarishi February 9, 2020 by Global Publishers  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu amesema Serikali itaendelea kuchukua hatua mbalimbali kwa wazalishaji na wasambazaji wa mifuko isiyokidhi viwango ili kudhibiti uchafuzi utokanao na mifuko hiyo.   Zungu

Kenya: Mchina amcharaza bakora mfanyakazi kwa kosa la kuchelewa kazini (+Video)

Posted by - February 9, 2020

Raia wanne wa Uchina wamekamatwa na polisi baada ya video kusambaa katika mitandao ya kijamii ikiwaonesha wakimchapa viboko Mkenya. View this post on Instagram KENYA : MCHINA AMCHARAZA BAKORA MFANYAKAZI KWA KOSA LA KUCHELEWA KAZINI . Raia wanne wa Uchina wamekamatwa na polisi baada ya video kusambaa katika mitandao ya kijamii ikiwaonesha wakimchapa viboko Mkenya.