MAMBO 12 USIYOYAJUA Kuhusu Moi

Posted by - February 10, 2020

MAMBO 12 USIYOYAJUA Kuhusu Moi February 10, 2020 by Global Publishers Stori: GABRIEL MUSHI NA AMINA SAID, Ijumaa WAKATI Wakenya na dunia kwa jumla wakiomboleza kifo cha aliyekuwa Rais wa Pili wa Taifa hilo, Daniel Arap Moi, IJUMAA tumekuchambulia mambo 12 usiyoyajua kuhusu kiongozi huyo aliyeitawala Kenya kwa miaka 24 kuanzia mwaka 1978 hadi 2002.

Nandy: Mwamposa Ni Baba Yangu, Imeniuma Sana

Posted by - February 10, 2020

Nandy: Mwamposa Ni Baba Yangu, Imeniuma Sana February 10, 2020 by Global Publishers JINA la Nandy linasikika zaidi barani Afrika kwenye anga la muziki wa Afro-Pop (Bongo Fleva ndani yake) kiasi cha kuwa mmoja wa wanamuziki wa kike nchini Tanzania ambao ngoma zao zinasikilizwa zaidi ndani na nje ya Bongo.   Jina lake kwenye Kitambulisho

Diamond abeba watangazaji wengine kutoka kituo hiki kikubwa na kuwaleta Wasafi, Juma Lokole ndani “Tutawakera zaidi” – Video

Posted by - February 10, 2020

Baada ya kusambaa neno la #NITAKUKERAZAIDI mitandaoni lililoanzishwa na msanii @diamondplatnumz C.E.O wa Wasafi media na watu kutegemea labda Diamond anaachia wimbo kumbe sivyo. #Nitakukerazaidi ni neno lilolomaanisha kitu kingine na tukio lililotokea ni Watangazaji wapya waliotambulishwa Wasafi katika kipindi cha #MaShamshamWatangazaji hao wawili wanatoka TIMESFM ambao ni @didahshaibutz pamoja na @idriskitaa lakini mtangazaji wa tatu ni @jumalokole2 ambaye pia alikuwa mtangazaji katika kituo cha

Moi Alivyoitawala Kenya Miaka 24 kwa Mkono wa Chuma

Posted by - February 10, 2020

Moi Alivyoitawala Kenya Miaka 24 kwa Mkono wa Chuma February 10, 2020 by Global Publishers MAPEMA wiki iliyopita rais wa pili wa Kenya, Daniel Arap Moi, ameaga dunia. Kifo chake kilitangazwa na Rais Uhuru Kenyatta, katika tangazo lililorushwa moja kwa moja na televisheni ya taifa.   Aidha, mtoto mkubwa wa Moi, Gideon Moi ambaye ni

China: Rais Xi Jinping awatembelea wagonjwa wa virusi vya Corona (+Video)

Posted by - February 10, 2020

Rais wa China, Xi Jinping leo amewatembelea wagonjwa wa virusi vya Corona pamoja na maafisa wa afya ambao wanawahudumia wagonjwa hao. Xi alionekana amevalia kitambaa cha kufunika uso kwa ajili ya kujikinga na pia alipima afya yake. Huku akiviita virusi vya Corona kama ”janga”, Xi amesema hatua kali zaidi zitachukuliwa kwa ajili ya kudhibiti kuenea

AUDIO | Ice Boy – Ufunguo | Download

Posted by - February 10, 2020

Home Audio AUDIO | Ice Boy – Ufunguo | Download February 10, 2020 Previous articleAUDIO | Agay ME Ft. Mesen Selekta – PHONE | Download Source link

Umempa Sababu ya Kuwa na wWewe?

Posted by - February 10, 2020

Umempa Sababu ya Kuwa na wWewe? February 10, 2020 by Global Publishers UKITAKA mpenzi wako akuchoke au umchoke, wewe ndiye mwamuzi, lakini pia ukitaka mpenzi asikuchoke au usimchoke wewe ndiye mwenye uamuzi kwa kuwa una uwezo wa kuyafanya yote hayo. Hebu nikuulize, umempa sababu mwenzako ya kuwa na wewe?   Je, unafanya nini kumfanya mwenzako

Sane anaiwahi Real Madrid – Global Publishers

Posted by - February 10, 2020

Sane anaiwahi Real Madrid February 10, 2020 by Global Publishers MANCHESTER, England |KIUNGO mshambuliaji wa Manchester City, Leroy Sane, anatarajiwa kuwepo kwenye kikosi cha timu hiyo kitakachopambana na Real Madrid mechi ya hatua ya 16 Bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu. Mjerumani huyo ambaye alikuwa nje ya uwanja tangu alipoumia Agosti, mwaka jana,