Waziri Zungu apiga marufuku uingizwaji wa mifuko mbadala ambayo haijakidhi viwango, msako kufanywa nchi nzima

Posted by - February 11, 2020

WAZIRI wa Nchi Ofi si ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mussa Zungu amepiga marufuku uingizwaji na utengenezaji wa mifuko mbadala ambayo haijakidhi viwango vilivyowekwa na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC). Agizo hilo alilitoa jijini Dar es Salaam, alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari. Aidha alisema msako mkali utafanywa

Marais Wastaafu Kikwete na Mkapa watoa kauli kwenye msiba wa Rais Mstaafu wa Kenya, Moi

Posted by - February 11, 2020

Marais wastaafu Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete baada ya kutua Jijini Nairobi kwa ajili ya mazishi rasmi ya Rais mstaafu wa Kenya, Hayati Daniel arap Moi, walipata wasaa wakutoa salamu za rambimbali.   Rais Mstaafu Kikwete wakati akizungumza kutoa heshima za mwisho, kwa Rais Mstaafu wa Kenya Daniel Toroitich Arap Moi, katika uwanja wa kitaifa wa Nyayo

TFF Kuivunja Kamati ya Saa 72

Posted by - February 11, 2020

TFF Kuivunja Kamati ya Saa 72 February 11, 2020 by Global Publishers SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limesema kuwa litaivunja Kamati ya Saa 72 ya shirikisho hilo kama watabaini kuna uzembe unaofanyika katika kutoa maamuzi.   Kamati ya Saa 72, ikijulikana pia kama Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa Ligi, ni chombo maalumu kilichopo chini

Masau Afunguka Alivyochukuliwa na Polisi Dar

Posted by - February 11, 2020

Masau Afunguka Alivyochukuliwa na Polisi Dar February 11, 2020 by Denis Mtima MSEMAJI wa klabu ya soka ya Ruvu Shooting, Masau Bwire amefunguka kuhusu tukio la kutolewa kwake na polisi uwanjani baada ya kumalizika kwa mchezo wao dhidi ya Yanga ulioisha kwa Ruvu kupoteza kwa bao 1-0.   Masau baada ya mchezo huo kwenye Uwanja

Kabendera kukutana na upande wa mashitaka

Posted by - February 11, 2020

Hatima ya kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili, Mwanahabari, Erick Kabendera itajulikana February 17, 2020 baada ya upande wa mashitaka kuomba kuzungumza na Kabendera kwa siri kwa ajili ya kuingia nae makubaliano. Hatua hiyo inakuja wiki chache baada ya Kabendera kuomba kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Mashitaka (DPP) kwa ajili ya maelewano. Wakili wa Serikali Mkuu,

Kijana wa Ubungo Msewe afichua siri ya kushinda tsh milioni 437 za SportPesa (Video)

Posted by - February 11, 2020

YASSIN Ridhiwani Ally Mkazi wa Ubungo jijini la Dar es Salaam mwishoni mwa wiki aliibuka kuwa mshindi wa jackpot ya SportPesa kwa kujishindia kitita cha zaidi ya Sh Mil 437 na jana akakabidhiwa zawadi ya ushindi huo kwenye hafla fupi iliyofanyika ofisi za SportPesa, Masaki, Dar. Ally mwenye umri wa miaka 35 amejishindia kitita hicho