Mbelgiji Azitaka Clean Sheet Kwa Metacha

Posted by - February 12, 2020

Mbelgiji Azitaka Clean Sheet Kwa Metacha February 12, 2020 by Global Publishers KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amempa majukumu mazito kipa wake, Metacha Mnata kuhakikisha anamaliza kila mechi yao bila ya kufungwa ‘clean sheet’.   Kocha huyo ameweka wazi hilo baada ya kumtumia Metacha kama kipa wake namba moja mbele ya Mkenya Farouk Shikalo.

Kenyatta Asimulia Mzee Moi Alivyokuwa Mkali – Video

Posted by - February 12, 2020

Kenyatta Asimulia Mzee Moi Alivyokuwa Mkali – Video February 12, 2020 by Global Publishers Rais wa awamu ya pili wa Kenya hayati Daniel arap Moi amezikwa hii leo baada ya jeshi kutoa heshima kwa kupigiwa mizinga 19.   Maafisa wa kijeshi walitoa heshima kwa kufyatua mizinga lilipo kaburi eneo la Kabarak. Ndege za kijeshi ziliruka

Rais Moi Azikwa Karibu na Bibi Yake

Posted by - February 12, 2020

Rais Moi Azikwa Karibu na Bibi Yake February 12, 2020 by Global Publishers MIAKA 42 iliyopita, taifa lilimpoteza Rais Mwanzilishi wa Jamhuri ya Kenya ndiye Mzee Jomo Kenyatta. Rais huyo wa kwanza, aliaga dunia Agosti 22, 1978, akiwa madarakani na waliokuwa wamezaliwa wakati huo walishuhudia heshima alizopata Hayati Mzee Kenyatta akizikwa, katika hafla ya kitaifa

Mkuu wa Wilaya Bariadi, Kiswaga alivyopokea neema ya Tigo kwa Wananchi wake

Posted by - February 12, 2020

Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Mh.Festo Kiswaga amezipongeza juhudi za Tigo katika kuwekeza rasilimali katika uboreshaji wa huduma na kuhakikisha zinakidhi viwango vya kimataifa. Hayo yamejiri wakati kampuni hiyo ikizindua duka lao jipya Wilayani humo. Mkuu wa Wilaya ya Bariadi Festo Kiswaga(aliyevaa shati la kitenge) akikata keki sambamba na wateja wa tigo wakati wa hafla

Kamati Kuu ya CCM yatoa siku 7, Membe, Kinana na Makamba

Posted by - February 12, 2020

Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), imetoa siku 7 kwa kamati ya Usalama na Maadili ya chama hicho kukamilisha taarifa ya mahojiano juu ya wanachama watatu, Yusuph Makamba, Abdulrahman Kinana na Bernard Membe na kuiwasilisha katika vikao husika. The post Kamati Kuu ya CCM yatoa siku 7, Membe, Kinana na Makamba appeared first on

MBEZI HIGH SCHOOL WAIPOKEA KWA SHANGWE JIPANGE NA PEPA

Posted by - February 12, 2020

MBEZI HIGH SCHOOL WAIPOKEA KWA SHANGWE JIPANGE NA PEPA February 12, 2020 by Global Publishers Project ya Jipange na Pepa, inazidi kupasua anga ambapo leo, Jumatano, Februari 12, imefanyika katika Shule ya Sekondari ya Mbezi Beach High School na kutambulishwa kwa wanafunzi na walimu wa shule hiyo, waliyoipokea kwa shangwe. “Tumefurahi sana kugundua kwamba kumbe

Madiwani Watano wa Zitto Watimkia CCM – Video

Posted by - February 12, 2020

Madiwani Watano wa Zitto Watimkia CCM – Video February 12, 2020 by Global Publishers Madiwani watano wa Chama cha ACT Wazalendo kinachoongozwa na Zitto Kabwe, wamejiuzulu nyadhifa zao zote katika chama hicho na kuomba kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kupokelewa na Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally na Katibu Mwenezi, Humphrey Polepole

Mr Babsy – Valentine ft Mr Eazi & Nandy -Siku Zote (Official Audio)

Posted by - February 12, 2020

#Subscribe #Follow #AbboneToi #MrBabsy finally decide to record that song produced by Mr. Eazi and Nandy this is fresh vibes Music for a real lover 💏 Tanzania’s #Nandy and Nigeria #MrEazi present their new track #MrBabsy a finalement décider d’enregistrer cette chanson produite par M. Eazi et Nandy c’est une nouvelle ambiance Musique pour un

Dudu Baya asamehewa kifungo chake

Posted by - February 12, 2020

Serikali ya Tanzania imemsamehe msanii, Godfrey Tumaini maarufu Dudubaya baada ya kumfungia kwa muda usiojulikana kujihusisha na kazi za sanaa. Alifungiwa na Baraza la Sanaa Tanzania (Basata) baada ya kukataa wito kuhojiwa kuhusu tuhuma alizozitoa katika mitandao ya kijamii kuhusu sanaa. Baraza hilo limeeleza kuwa Dudubaya alitumia lugha zisizo na maadili. Hata hivyo, Januari 23,