Koffi Olomide – Pygmalion (Clip Officiel)

Posted by - February 14, 2020

► S’abonner à la chaîne : ► Buy on iTunes : ► Listen on Spotify : ► Listen on Deezer : Production : Kofficentral Distribution Digitale : Kofficentral *** Plus d’infos sur Koffi Olomidé / More info on Koffi Olomidé Facebook : Twitter : Instagram : source

Bibi wa Miaka 62 asimulia alivyotongozwa na kuolewa na kijana wa miaka 24 “Ananipa mambo matamu sijawahi kupata popote” – Video

Posted by - February 14, 2020

Ndoa iliyoleta maneno mengi sana mitandaoni ni hii inayowahu watu wawili ambao wamepisha miaka takribani 38 lakini hawakuangalia hicho wao waliangalia upendo. Innocent Nyange na Gokeys Dokeys ni wanandoa walifunga ndoa mwaka 2019 mwezi wa kumi na wamezua gumzo kutokana na umri wao ambapo mama aliyeolewa anaumri wa miaka 62 ambao ni mara mbili ya

Bebe Cool x Rudeboy – Feeling [Flow Promo] By 🇯🇲 Dj Akme 🔥 🇺🇬 🇳🇬 🇸🇱 🇬🇭 🇹🇿

Posted by - February 14, 2020

⏩ SUBSCRIBE ✅ Share / Like 🔔 GET NOTIFIED new videos! Uganda superstar, Bebe Cool teams up with Nigeria’s multi-talented artiste, Rudeboy and comes with that banging ‘Feeling’. ‘Bebe Cool x Rudeboy – Feeling‘. African Reggae and Ragga musician from Uganda, Bebe Cool releases his 2020 debut single titled “Feeling“. To deliver this hit he

Tshishimbi Amvurugia Makapu Kwa Luc

Posted by - February 14, 2020

Tshishimbi Amvurugia Makapu Kwa Luc February 14, 2020 by Global Publishers KUTOKANA na kiwango kikubwa ambacho amekionyesha kiungo mkabaji na nahodha Mkongomani Papy Tshishimbi, Kocha Mkuu wa Yanga Mbelgiji Luc Eymael amemhakikishia nafasi ya kudumu nyota huyo.   Hiyo ikiwa ni siku chache tangu kocha huyo amuweke benchi Tshishimbi katika mchezo wa Ligi Kuu Bara

Mzungu: Molinga Ni Mashine, Tulieni Muone Kazi

Posted by - February 14, 2020

Mzungu: Molinga Ni Mashine, Tulieni Muone Kazi February 14, 2020 by Global Publishers LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa uwepo wa David Molinga ndani ya Yanga ni moja ya silaha kwake itakayompa ushindi kwenye mechi zake zote.   Molinga ni kinara wa utupiaji ndani ya Yanga akiwa na mabao 7 anafuatiwa na Patrick