local

Nas tatu aliyekuwa kundi moja Jux na Kamikaze atoa ngoma akimshirikisha G Bway na Mee Brown “Nifanyaje” – Video

By

on

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Nas Tatu aliyekuwa akifanya muziki kwenye kundi la WAKACHA lililoundwa na Jux pamoja Nas tatu na Kamikaze ameachia video ya wimbo mpya akishirikiana na G Bway na Mee Brown.

Nas Tatu ameachia video hiyo akiifanya kwa Producer Yogo beats huku video ikifanywa na director_a_plus & @directorbeel na kuwekewa rangi na nickdizzorusule

 

 

Posted from

About erick

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *