Prophet Shillah aliyesemekana amekatwa mguu baada ya kupata ajali afunguka kwa mara ya kwanza, Awapa onyo kali wambea Juma Lokole na Carrymastory – Video

Posted by - February 18, 2020

Prophet Shillah aliyesemekeana amekatwa mguu baada ya kupata ajali ya gari akitokea Dodoma afunguka kwa mara ya kwanza kuhusiana na habari hizo za yeye kukatwa mguu wake. Akiongea na Bongo5 Shillaha ameongea huku akiwatahadharisha na kuwapa onyo kali wambea Juma Lokole na Carry Mastory juu ya ayle wanayoyasambaza kwenye mitandao ya kijamii. Prohet amefunguka haya:-

MBAO YATIMUA KOCHA NA MSAIDIZI WAKE

Posted by - February 18, 2020

MBAO YATIMUA KOCHA NA MSAIDIZI WAKE February 18, 2020 by Global Publishers Uongozi wa Mbao FC umethibitisha kusitisha mkataba wa kocha wake Hemed Morocco na msaidizi wake Abdulmutik Hajji baada ya makubaliano ya pande zote mbili, kutokana na mwenendo mbaya wa timu hiyo kwenye ligi kuu Tanzania Bara. Hadi sasa Mbao FC ina pointi 19

Warembo Wamiminika Kusaka Wachumba Kanisani – Video

Posted by - February 18, 2020

Warembo Wamiminika Kusaka Wachumba Kanisani – Video February 18, 2020 by Global Publishers KATIKA hali ya kushangaza, Warembo wamemiminika katika ibada ya maombezi iliyofanywa na Kiongozi wa Kanisa la Ufunuo, Askofu Paul Bendera juzi Jumapili katika Kanisa hilo lilolopo Kimara Bonyokwa jijini Dar es Salaam.   Mbali na warembo hao, pia wanawake ambao wako kwenye

Watoto Wafariki kwa Kujipikia Chakula Chenye Sumu

Posted by - February 18, 2020

Watoto Wafariki kwa Kujipikia Chakula Chenye Sumu February 18, 2020 by Global Publishers WATOTO wawili wamefariki dunia huku wengine 11 wakipelekwa hospitali baada kula vitafunwa mfano wa hamri vinavyosadikiwa kuwa na sumu nchini Uganda.   Watoto hao wote 13 wanatoka katika familia moja Budumba, magharibi mwa Uganda na wana umri wa kati ya miaka mitano

Zitto Kabwe Achukua Fomu – Global Publishers

Posted by - February 18, 2020

Zitto Kabwe Achukua Fomu February 18, 2020 by Global Publishers Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe leo Februari 18, jijini Dar es Salaam amechukua fomu ya kuomba kugombea tena nafasi hiyo kwa muhula mwingine.   Akizungumza baada ya kuchukua fomu, Zitto amesema ameamua kutetea nafasi hiyo kwa awamu ya pili baada ya kushauriana

Nabii Bendera Amwangushia JPM Maombi Mazito – Video

Posted by - February 18, 2020

Nabii Bendera Amwangushia JPM Maombi Mazito – Video February 18, 2020 by Global Publishers MCHUNGAJI wa Kanisa la Ufunuo, Askofu  Paul bendera amemwangushia maombi mazito Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wote wa serikali. Toa comment Posted from