Abbas Pira awaonya Biashara United mbele ya ‘Mnyama Simba’, awataka Yanga kuwa makini sana na Coastal Union (+Video)

Posted by - February 21, 2020

Mchambuzi wa soka anayekuja kwa kasi nchini, Abbas Pira amechambua mechi mbili zinazo wahusu wakongwe wa soka nchini Simba na Yanga. Wakati Simba ikitarajia kucheza na Biashara United, mchambuzi huyo amewaonya Biashara United kuwa kucheza kwa tahadhari kubwa mbele ya Simba ambaye amekuwa akizijeruhi kila timu anazokutananazo. Wakati kwa upande wa Yanga amesema kuwa Wanajangwani

EXCLUSIVE: ”Gharama ya kumsajili Bernard Morrison rabda ningeuza Nyumba yangu, Luc Eymael namjua sana alikuwa Congo,” Mwinyi Zahera (+Video)

Posted by - February 21, 2020

Aliyekuwa Kocha wa Klabu ya Yanga, Mwinyi Zahera  amemchambua mchezaji Bernard Morrison na vile anavyomjua nyota huyo machachari kunako Jangwani. Zahera amefunguka pia namna anavyomfahamu Kocha wa Yanga, Luc Eymael hata kabla ajapewa kazi ya kuwafundisha Mabingwa hao wa Kihistoria Ligi Kuu Tanzania Bara lakini pia walipofikia na Mabosi zake wa zamani Young Africans  

EXCLUSIVE: ”Gharama ya kumsajili Bernard Morrison rabda ningeuza Nyumba yangu, Luc Eymael namjua sana alikuwa Congo,” Mwinyi Zahera (+Video)

Posted by - February 21, 2020

Aliyekuwa Kocha wa Klabu ya Yanga, Mwinyi Zahera  amemchambua mchezaji Bernard Morrison na vile anavyomjua nyota huyo machachari kunako Jangwani. Zahera amefunguka pia namna anavyomfahamu Kocha wa Yanga, Luc Eymael hata kabla ajapewa kazi ya kuwafundisha Mabingwa hao wa Kihistoria Ligi Kuu Tanzania Bara lakini pia walipofikia na Mabosi zake wa zamani Young Africans Posted