St. Mary’s Waukubali Ubora Sabuni za King Limau na Marhaba

Posted by - February 22, 2020

St. Maryโ€™s Waukubali Ubora Sabuni za King Limau na Marhaba February 22, 2020 by Global Publishers Group Business Developer wa Azania, Joel Laizer wa Azania akizungumza na wanafunzi hao. ย  MAKAMPUNI ya Azania Group watengenezaji wa sabuni bora za King Limau na Marhaba ambazo zinasifika kwa ubora, wakikushirikiana na kikosi cha Matangazo cha Makampuni ya

Bifu La Matola, Sven Simba Lamuibua Chama

Posted by - February 22, 2020

Bifu La Matola, Sven Simba Lamuibua Chama February 22, 2020 by Global Publishers MASHABIKI wa Simba wameonekana kufurahia ushindi wa tatu mfululizo walioupata kwenye Ligi Kuu Bara, lakini aliyefanikisha hilo ni kiungo mchezeshaji fundi Mzambia, Clatous Chama. Simba katika mchezo iliyopita ya ligi imepata matokeo mazuri ya ushindi katika michezo hiyo mitatu walipovaana na Mtibwa

Dede K – Babangida

Posted by - February 22, 2020

New AFROBEAT Vibe by Dede K Download/Stream (Song Title: Babangida) on all streaming sites (ITunes, Spotify, MediaNet, iHeartRadio, Apple Music, Google Play, Amazon, Tidal and Deezer) ๐Ÿ˜Š. For Android/Download www.dekingvibez.com/music ๐Ÿ™๐Ÿผ SHOT BY DOPE. Beat by OGE Kindly follow me on Instagram/SnapChat/Twitter: @dekingvibez Facebook Page: Dede K One Love โค๏ธ Folks โœŠ๐Ÿพ source

Morrison Afikishwa Kamati ya Nidhamu TFF

Posted by - February 22, 2020

Morrison Afikishwa Kamati ya Nidhamu TFF February 22, 2020 by Global Publishers Mchezaji wa Yanga SC Bernard Morrison amepelekwa Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kosa la kumpiga kiwiko mchezaji wa Tanzania Prisons Jeremia Juma wakati mpira ukiwa umesimama kwenye mchezo uliofanyika Februari 15, 2020 katika Uwanja wa Taifa

Chato: Baba Kizimbani kwa Kumlawiti Mtoto Wake

Posted by - February 22, 2020

Chato: Baba Kizimbani kwa Kumlawiti Mtoto Wake February 22, 2020 by Global Publishers Jeshi la Polisi wilayani Chato mkoani Geita, limemfikisha Mahakamani, Kazimili Dotto akituhumiwa kumbaka na kumlawiti mtoto wake wa kambo, ambaye ni mwanafunzi wa darasa la pili. Mwendesha Mashtaka Mauzi Lyawatwa, amesema kosa la ubakaji ni kinyume na Vifungu vya 130(1)(2)(e) na 131(1)

Mtoto (10) Shabiki wa Man U Amwandikia Barua Kocha wa Liverpool

Posted by - February 22, 2020

Mtoto (10) Shabiki wa Man U Amwandikia Barua Kocha wa Liverpool February 22, 2020 by Global Publishers MTOTO wa miaka 10 anayefahamika kwa jina la Daragh Curley, akitokea katika mji wa Donegal, alimwandikia barua meneja wa Liverpool ikiwa ni sehemu ya jaribio alilopewa shuleni. ย  Kijana huyo wa miaka 10 aliuliza ikiwa inawezekana kwa Liverpool

Aliyekuwa kiongozi wa Yanga atunukiwa Udaktari, Afunguka haya kuhusu Yanga “Waliniona sifai” – Video

Posted by - February 22, 2020

Aliyekuwa Kaimu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Tobias Lingalangala siku ya leo ametunukiwa Shahada ya Uzamivu (DOCTOR OF HUMANITY) na Chuo cha LEAD IMAPACT UNIVERSITY kilichopo Colorado nchini Marekani kutokana na kuhudi zake za kuendelea kusaidia Jamii. Tobias amekuwa mstari wa Mbele sana kusaidia jamii akitolea mfano Mkoani Njombe kwa kuwapelekea maji pamoja na kuwaletea

Mtu wa Kwanza Afariki kwa Corona Ulaya

Posted by - February 22, 2020

Mtu wa Kwanza Afariki kwa Corona Ulaya February 22, 2020 by Global Publishers MWANAMUME mmoja wa Italia aliyekuwa ameathirika na virusi vya Corona amefariki dunia na hivyo kifo hicho kuwa cha kwanza kutokea Barani Ulaya. ย  Waziri wa Afya wa Italia, Roberto Speranza amesema mwanaume huyo mwenye umri wa miaka 78, alifariki jana kwenye hospitali