Global Habari Feb 23: Mchango Wa Sekta Ya Madini Kwenye Pato La Taifa

Posted by - February 23, 2020

Global Habari Feb 23: Mchango Wa Sekta Ya Madini Kwenye Pato La Taifa February 23, 2020 by Global Publishers  Sekta ya madini imetajwa kuwa ya pili katika kuchangia kwenye pato la taifa kwa mwaka 2019/20 huku ukusanyaji wa mapato ukiongezeka na kufikia asilimia 51.5 kwenye nusu ya kwanza ya malengo ya mwaka ya ukusanyaji

VIDEO: MREMBO Aliyepostiwa na 50 CENT Azungumza “Sijafurahishwa na POST YAKE!

Posted by - February 23, 2020

VIDEO: MREMBO Aliyepostiwa na 50 CENT Azungumza “Sijafurahishwa na POST YAKE! February 23, 2020 by Global Publishers Mwanamuziki wa Marekeni, 50 Cent aliwahi kupost picha ya mrembo huyu Nicole kwenye ukurasa wake wa Instagram na hivyo kuzua mjadala mkubwa, leo amezungumza kilichotokea…..GLOBAL TV IMEZUNGUMZA NAYE…. Toa comment Posted from

Tyson Fury Alivyomkalisha Wilder Raundi ya Saba – Video

Posted by - February 23, 2020

Tyson Fury Alivyomkalisha Wilder Raundi ya Saba – Video February 23, 2020 by Global Publishers Bondia Tyson Fury ametwaa mkanda wa uzito wa juu duniani wa WBC baada ya kumtwanga kwa TKO Mmarekani Deontay Wilder katika pambano la raundi 12 lililochezwa leo katika ukumbi wa MGM Grand Arena, Las Vegas, Nevada, Marekani.   The Gypsy

RC Makonda ahofia ‘viashiria’ silaha za Kibaiolojia ”Pengine Mtu kakaa Maabara katengeneza hawa Nzige” (+Video)

Posted by - February 23, 2020

”Sasa hivi unaweza kumshika mtu mkono kumbe ana kemikali, unaweza kutafuta dawa ya kuuwa hawa wadudu wanaomaliza mazao, lakini kumbe kuna mtu kakaa maabara katengeneza hawa nzige, wanaingia kwenye mashamba watu wanakufa na njaa.” “…mnaweza mkashangaa mnavuta hewa humu kwenye ukumbi…hewa imechangavywa na Sumu…niwaombeni tulilinde Taifa…na kila anayepata taarifa husika ‘a-shere’ na vyombo husika kwa