NANDY LIVE PERFOMANCE IN NAIROBI.

Posted by - February 24, 2020

Nandy is a top Tanzanian female artist. She was selected to represent Coke Studio Africa 2017, where she did a remarkable performance with the Ethiopian Betty G and though a new comer at Coke Studio, got an opportunity to be upgraded to the high profile artists. Nandy in November made Tanzania proud after being nominated

Dk Bashiru Aanika Hatima ya Kinana , Makamba na Membe CCM – Video

Posted by - February 24, 2020

Dk Bashiru Aanika Hatima ya Kinana , Makamba na Membe CCM – Video February 24, 2020 by Global Publishers RIPOTI kuhusu tuhuma zinazowakabili makatibu wakuu wastaafu wawili (Adbulrahman Kinana na Yusuph Makamba) akiwemo aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe tayari imekamilika na inatarajiwa kukabidhiwa kwa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi mwishoni mwa

Meja Kunta: Naupenda wimbo wa Singeli wa Harmonize, ameipeleka singeli Kimataifa (Video)

Posted by - February 24, 2020

Msanii wa Singeli Meja Kunta amedai ni kweli Harmonize ameipeleka singeli kimataifa kupitia wimbo wake, Hujanikomoa ambao kwa sasa unafanya vizuri kwenye vituo mbalimbali vya redio na runinga. Muimbaji huyo amewataka baadhi ya watu mitandaoni kuacha kumshindanidha na Harmonize kupitia wimbo wao walioshirikiana na Lavalava uitwao, Wanga. Meja amedai bosi huyo wa Konde Gang ni

Tuhuma za Kutaka Kuuawa, Muroto Amuita Musiba kwa Mahojiano

Posted by - February 24, 2020

Tuhuma za Kutaka Kuuawa, Muroto Amuita Musiba kwa Mahojiano February 24, 2020 by Global Publishers JESHI la Polisi mkoani Dodoma limemuita kwa mahojiano mwanaharakati huru Cyprian Musiba baada ya kutoa tuhuma mbalimbali za kutishiwa kuuawa.   Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Feb.24.2020 jijini Dodoma Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma Gilles Muroto amesema Musiba

Prof Lumumba Akutana na Magufuli “Tutachinjwa” – Video

Posted by - February 24, 2020

Prof Lumumba Akutana na Magufuli “Tutachinjwa” – Video February 24, 2020 by Global Publishers Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 24 Februari, 2020 amekutana na kufanya mazungumzo na Msomi na Mwanamajumui wa Afrika (Pan-Africanist) Prof. Patrick Loch Otieno Lumumba, Ikulu Jijini Dar es Salaam.   Dkt. Magufuli na

Global Walivyo Msaplaiz Meneja Wao Birthday Yake – Video

Posted by - February 24, 2020

Global Walivyo Msaplaiz Meneja Wao Birthday Yake – Video February 24, 2020 by Global Publishers LEO FEBRUARI 24, ni siku muhimu sana kwa Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho ambapo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa. Uongozi na wafanyakazi wote wa Makampuni ya Global Group tunamtakia heri ya kuzaliwa Meneja Mkuu wetu, Abdallah Mrisho.  

EyOh _-_ [AJORDEY ] Prod By Method J

Posted by - February 24, 2020

AJORDEY By EyOh Is a Come back song after A Long Period of Silence Working on his Ep And couple of video projects..Due to popular Demands by his followers he Decided to Release the Song on His Mother Birthday a Routine He Does Each year ,To explain His Reasons for being silent all this while…The