Darassa Feat. Sho Madjozi – I Like It (Official Music Video)

Posted by - February 25, 2020

Watch Brand New Music Video Darassa Feat. Sho Madjozi “I LIKE IT”. Audio produced by Abbah Process and Video Directed by Yoza Mnyanda You Can Also Stream the Audio on Following Links.. Smart url : Audiomac: Mdundo : #Darassa #ShoMadjozi #ILikeIt source

Bilioni 1.8 zamwagwa usajili Yanga

Posted by - February 25, 2020

Bilioni 1.8 zamwagwa usajili Yanga February 25, 2020 by Global Publishers YANGA imeweka rekodi kwenye msimu huu wa Ligi Kuu Bara katika usajili, ikisajili wachezaji 20 katika madirisha mawili ya usajili huku watani wao Simba wakisajili 10 pekee. Achana na rekodi hiyo, nyingine Yanga imebadili mabenchi ya ufundi mara tatu mfululizo ndani ya msimu mmoja.   Walianza na

Wanaoiua Yanga Hawa Hapa – Global Publishers

Posted by - February 25, 2020

Wanaoiua Yanga Hawa Hapa February 25, 2020 by Global Publishers YANGA imetoka sare ya 0-0 dhidi ya Coastal Union na kuandika sare yake ya nane kati ya mechi 22 za Ligi Kuu Bara ilizocheza! Yanga imebaki nafasi ya nne ikifikisha pointi 41 na bado Namungo ipo nafasi ya tatu ikiwa na pointi 43 lakini kinachoonekana kuwa

Mbunifu wa mavazi Noel amefunguka utofauti wa kufanya kazi kati ya Alikiba na Diamond “Kiba amenibeba sana Diamond yuko serious” – Video

Posted by - February 25, 2020

Mbunifu wa mavazi kutoka Tanzania Noel ambaye amefanikiwa kufanya kazi na karibia kila msanii Tanzania amefunguka mengi sana kuhusu changamoto anazopitia kufanya kazi na wasanii wakubwa Tanzania. Akiongea na Bongo5  Noel ameeleza kuwa kuna ugumu sana kufanya kazi na wasanii wakubwa kama Alikiba na Diamond Ingawa nilianza kufanya kazi na Alikiba kabla ya Diamond. Mbali