Bukuku Bahati Ampa Nandy Sharti la Kuokoka!

Posted by - February 27, 2020

Bukuku Bahati Ampa Nandy Sharti la Kuokoka! February 27, 2020 by Global Publishers UNAPOUZUNGUMZIA muziki wa Injili Bongo, huwezi kuacha kumtaja nguli wao ambaye ni mwanamama kutoka mkoani Mbeya, Bahati Bukuku. Ni mmoja wa wakongwe kwenye muziki wa Injili, mwenye sauti ya kipekee aliyojaaliwa na Mungu.   Bahati kama jina lake lilivyo, amepata umaarufu mkubwa

Dogo Janja asikitishwa kucopy wimbo wa JEJE wa Diamond na wimbo wake NURU “Wanapenda kucopy, Tutaharibu muziki wetu” – Video

Posted by - February 27, 2020

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Dogo Janja amefunguka kwa urefu zaidi baada ya kutoa wimbo wake wa NURU na kuonekana baadhi ya location zimefanana na wimbo wa Diamond JEJE ambazo zote wamefanyia Zanzibar. Dogo Janja amemtupia lawama Director wa wimbo huo kwa kumpeleka sehemu ambayo msanii mwingine alisharekodi wimbo wake pale “Mara nyingine madirector

Shamsa Alia Kukosa Bahati ya Kuhongwa

Posted by - February 27, 2020

Shamsa Alia Kukosa Bahati ya Kuhongwa February 27, 2020 by Global Publishers DAR: Mwanamama mkali wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford amesema mara nyingi anasikia kuwa mastaa wengi wanahongwa na kuweza kufanya kazi zao, lakini anashangaa yeye bahati hiyo hana. Shamsa ameliambia Gazeti la IJUMAA WIKIENDA kuwa, anashangaa kusikia wenzake wanahongwa magari na kupangishiwa majumba

Vide: Bora Iwe – Bexy

Posted by - February 27, 2020

Msanii wa muziki Bexy ameachia video ya wimbo wake mpya,Bora Iwe.Video ya wimbo huo imeandaliwa na Van Shayo. The post Vide: Bora Iwe – Bexy appeared first on Bongo5.com. Posted from