local

Rais Magufuli: “Nasikia kuna daraja limewashinda huko Morogoro nakuja, kila Barabara ikikatika katika Mkoa yule Regional Manager ajihesabu hana kazi”  – Video

By

on

“Sitaki kuona Barabara Kuu au Barabara ya Mkoa imefungwa kwa sababu Daraja limekatika, sitaki kusikia kwa TANROADS wote Tanzania nzima kwa sababu nafahamu fedha za kufanya ‘maintenance’ zipo, haiwezekani Daraja lisikaguliwe mpaka likatike”


“Naenda Morogoro huko Daraja linapokatikakatika hovyo, ngoja niende nasikia Daraja limewashinda huko Morogoro, kila Barabara ikikatika katika Mkoa yule Regional Manager ajihesabu hana kazi”

Posted from

About erick

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *