local

Mgambo akamatwa kwa kununua Mkanda kwenye mitumba na kufungia filimbi, Aeleza sababu – Video

By

on

Mgambo aliyefahamika kwa jina la Rugemalira Sospeter amekamatwa na Askari wa Zimamoto kwa kuvaa mkanda wa begani unaotumiwa na Jeshi hilo Raynyart ambapo yeye aliununua kwenye Soko la Mitumba na kueleza huwa anautumia kwa ajili ya kubebea filimbi yake.

By Ally Juma.

Posted from

About erick

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *