local

Makamu Wa Rais Samia Azindua Sikukuu Ya Nanenane Simiyu (Picha +Video)

By

onMakamu Wa Rais Samia Azindua Sikukuu Ya Nanenane Simiyu (Picha +Video)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akilihutubia Taifa kwenye Sherehe ya Uzinduzi wa Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane Kitaifa katika Viwanja vya Nyakabindi Mkoani Simiyu leo Agosti 01,2020. ambapo ujumbe wa mwaka huu Nanenane kwa maendeleo ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Chagua Kiongozi Bora 2020.

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, leo Agosti 01, ameshiriki katika maadhimisho ya sherehe za maonesho ya wakulima, wafugaji na wavuvi, (nanenane) ambayo kitaifa yanafanyika kanda ya ziwa Mashariki katika viwanja vya Nyakabindi mkoani Simiyu.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua Muongozo wa Kitaifa wa Uongezaji wa Virutubisho katika matumizi ya mazao ya Chakula wakati wa Uzinduzi wa Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane Kitaifa katika Viwanja vya Nyakabindi Mkoani Simiyu leo Agosti 01,2020. ambapo ujumbe wa mwaka huu Nanenane kwa maendeleo ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Chagua Kiongozi Bora 2020.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi Muongozo wa Kitaifa wa Uongezaji wa Virutubisho katika matumizi ya mazao ya Chakula Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Adam Malima mara baada ya kuuzindua Muongozo huo leo Agosti 01,2020 katika uzinduzi wa Sherehe ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane kitaifa iliyofanyika katika Viwanja vya Nyakabindi Mkoani Simiyu.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimsikiliza Mkurugenzi wa Kituo cha Utafiti wa Kilimo TARI Mlingano Dkt. Catherine Senkoro alipokuwa akimuelezea kuhusu Utafiti wa mazao ya aina mbalimbali ya Kilimo alipotembelea Banda la Taasisi ya Utafiti wa Kilimo TARI katika Viwanja vya Maonesho ya Nanenane vya Nyakabindi Mkoani Simiyu leo Agosti 01

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimsikiliza Mkurugenzi wa Kituo cha Utafiti wa Kilimo TARI Mlingano Dkt. Catherine Senkoro alipokuwa akimuelezea kuhusu Utafiti wa mazao ya aina mbalimbali ya Kilimo alipotembelea Banda la Taasisi ya Utafiti wa Kilimo TARI katika Viwanja vya Maonesho ya Nanenane vya Nyakabindi Mkoani Simiyu leo Agosti 01

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Baadhi ya watumishi wa Kituo cha Utafiti wa Kilimo TARI Mlingano alipotembelea Banda la Taasisi ya Utafiti wa Kilimo TARI katika Viwanja vya Maonesho ya Nanenane vya Nyakabindi Mkoani Simiyu leo Agosti 01,2020.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia baadhi ya Bidhaa za aina mbalimbali ya Kilimo ikiwemo alipotembelea mabanda maonesho katika Viwanja vya Maonesho ya Nanenane vya Nyakabindi Mkoani Simiyu leo Agosti 01,2020. kulia Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet Hasunga.


Toa comment

Posted from

About erick

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *