local

Usipime Reception ya dada yake Diamond, Esma na mume wake Yahaya (Video)

By

on

Kila mmoja kwa sasa anasubiria kwa hamu kuona reception ya dada yake @diamondplatnumz , @_esmaplatnumz ambaye amefunga ndoa na mume wake Yahaya.

 

Shughuli hii inatarajiwa kuwa ya aina yake kutokana na maandalizi makubwa yanayofanywa.

Reception hii itahudhuriwa na wageni mashuhuri tu.

Alhamisi hii Esma alifanyiwa maulidi ambayo ulihudhuriwa na ndugu jamaa na marafiki.

Written and edited by @yasiningitu

Posted from

About erick

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *