Mwijaku amchana Baba levo baada ya kuikosoa show ya Alikiba, anatumiwa vibaya aliomba ku-perform akakataliwa (+Video)

Posted by - August 7, 2020

Msanii wa Bongo movie na Mtangazaji wa Clouds media @mwijaku amemtolea uvivu @officialbabalevo baada ya kumshauri @officialalikiba asogeze show yake mbele akidai ataenda kuumbuka kisa show inafanyika katikati ya mwezi tofauti na ingefanyika mwisho wa mwezi ili apate watu wengi huku kukiwa ni mwisho wa mwezi.Baada ya kauli hiyo ya @officialbabalevo @mwijaku amesema kuwa @officialbabalevo aliomba akaparform kwenye show hiyo na @officialalikiba amekataa kwa sababu anataka wasanii wa

Chama Mchezaji Bora VPL, Simba Yang’ara Tuzo za VPL

Posted by - August 7, 2020

Chama Mchezaji Bora VPL, Simba Yang’ara Tuzo za VPL August 8, 2020 by Global Publishers CLATOUS Chama, kiungo bora wa msimu wa 2019/20 anayekipiga ndani ya Klabu ya Simba leo kwenye kilele cha Tuzo za VPL zinazofanyika Ukumbi wa Mlimani City amesepa na tuzo binfasi mbili. Tuzo ya kwanza ilikuwa ni ya kiungo bora baada

Mzee Yusuf aitikisa Dar Live, afutiwa vumbi kiti chake cha Ufalme (+Video)

Posted by - August 7, 2020

Mfalme wa muziki wa Taarabu nchini Mzee Yusuf amerejea kwenye game la muziki huo na kufanya show yake ya kwanza Dar Live jijini Dar Es Salam huku waliokuwa wanadai wanakalia kiti chake cha Ufalme wakikifuta na kuruhusu kukalia. The post Mzee Yusuf aitikisa Dar Live, afutiwa vumbi kiti chake cha Ufalme (+Video) appeared first on

Simba yang’ara tuzo za ligi kuu msimu 2019/20, Chama mchezaji bora (+Video)

Posted by - August 7, 2020

Mabingwa wa ligi kuu soka Tanzania Bara Simba SC imefanikiwa kutawala tuzo za ligi kuu msimu huu wa mwaka 2019/20 kwa kuondoka na tuzo nyingi na muhimu zikiwemo mchezaji bora, mfungaji bora, golikipa bora, kocha bora na nyingine. The post Simba yang’ara tuzo za ligi kuu msimu 2019/20, Chama mchezaji bora (+Video) appeared first on

Wasiojulikana Wamuua Mjumbe – Video

Posted by - August 7, 2020

Wasiojulikana Wamuua Mjumbe – Video August 7, 2020 by Global Publishers MWANZA: Wakati mchakato wa kupitisha majina ya wagombea ubunge kupitia CCM ukizidi kushika kasi, ‘watu wasiojulikana’ wanadaiwa kumteka na kumuua Mwenyekiti wa Tawi la CCM Itilabusiga- Buchosa mkoani Mwanza, IJUMAA linaripoti. Mwenyekiti huyo aliyefahamika kwa jina la Anthony Gwalagwele, ambaye pia alikuwa mmoja wa

Rich Mavoko afunguka kusainiwa na Harmonize, Nilishangaa sana kuona ameandika vile hata hakunipigia simu (+Video)

Posted by - August 7, 2020

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @tic hmavoko amefunguka kuhusu zile stori za kusainiwa na @harmonize_tz katika lebo ya @kondegang. Mavoko ameeleza kuwa yeye alishangaa kuona hizo habari mtandaoni huenda @harmonize_tz alijisikia kuandika tu maana ni mtu ambaye tangu zamani alikuwa rafiki yake hata wakati yupo WCB.Mbali na hilo @richmavoko amezungumzia kuhusu kutumia akaunti yake ya Rich mavoko ambayo iliaminika ipo chini ya WCB

Vyama vya Upinzani Vyagombania Rangi Nyekundu

Posted by - August 7, 2020

Vyama vya Upinzani Vyagombania Rangi Nyekundu August 7, 2020 by Global Publishers VYAMA viwili vya upinzani nchini Uganda vimeingia katika mzozo juu ya haki ya kutumia rangi nyekundu huku kila chama kikidai kuwa kina haki ya kuitumia rangi hiyo kama utambulisho wake.   Chama kikongwe cha UPC kinadai kuwa chama kipya cha NUP kinachoongozwa na