SmZ – Jannah (Official Music Video)

Posted by - August 28, 2020

Artist: SmZ @SMZNATION Director: SmZ @SMZNATION DoP: Guero Ravisl @Guero_ravisl_prod Producer: SmZ @SMZNATION Executive Producer: SmZ @SMZNATION Listen at: Follow the SmZ on: Instagram: Facebook: source

Diamond, Kiba, Harmonize Kukiwasha Uzinduzi wa Kampeni za CCM Leo

Posted by - August 28, 2020

Diamond, Kiba, Harmonize Kukiwasha Uzinduzi wa Kampeni za CCM Leo August 29, 2020 by Bukos Kutoka kushoto Diamond, Ali Kiba na Harmonize. Wakali wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond, Ally Kiba, Harmonize wanatarajiwa kukiwasha katika uzinduzi wa Kampeni za CCM zinazotarajiwa kuzinduliwa leo Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Akizungumza na wanahabari wanahabari jijini hapa leo

Ethiopian music 2020 Zeariaya Feat ABI x HaddinQo- Birr (Demena Album)

Posted by - August 28, 2020

Every Thursday And Saturday more react videos check out the original song ……………………………………………………………………………………………………………… Original music ………………………………………………………………………………………………………………. Ethiopian Music: Abi ft Afro(Temekerech) አቢ እና አፍሮ(ተመከረች) New Ethiopian Music 2020(Official Video) check out the Wintana Tsige song Wintana Tsige video here – For more React videos comment down below don’t forget to like and subscribe ……………………………………………………………………………………………………………… special

Yacouba Awasotesha Yanga Air Port

Posted by - August 28, 2020

Yacouba Awasotesha Yanga Air Port August 28, 2020 by Global Publishers MAMIA ya mashabiki wa Yanga, jana walijikuta wakishinda mchana kutwa kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam kumpokea mshambuliaji wao mpya, Yacouba Sogne ambaye ilishindikana kutua nchini.   Awali, Yanga kwa kupitia Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano

Mr Blue afunguka kuhusu ajali aliyopata, Show yake ya Tanga (+Video) 

Posted by - August 28, 2020

Kutokea mkoani Tanga mtangazaji wetu @kaimitehassani amepiga stori na Msanii wa muziki wa kizazi kipya Henry Samir alimaarufu @mrbluebyser1988 baada ya kutua Tanga. Mr blue amepata nafasi ya kueleza mengi kuhusu show Yake ya leo katika ukumbi wa SABA 77 complex jijini Tanga ambayo imeandaliwa na kudhaminiwa na kampun ya KATEMI EMPIRE ilioko mkoani hapo.