Mahakama Kuamua Museveni Agombee Tena au La!

Posted by - September 30, 2020

Mahakama Kuamua Museveni Agombee Tena au La! September 30, 2020 by Global Publishers MAHAKAMA ya Haki ya Afrika Mashaki inatarajiwa kuamua kesi inayopinga uhalali wa Yoweri Museveni kugombea tena urais wa Uganda katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2021.   Mahakama ya juu zaidi ya Uganda iliidhinisha marekebisho ya katiba ili kuondoa ukomo wa miaka kwa

HESLB Yatoa Siku Tano Kwa Wanafunzi Waliomaliza Mafunzo ya JKT

Posted by - September 30, 2020

HESLB Yatoa Siku Tano Kwa Wanafunzi Waliomaliza Mafunzo ya JKT September 30, 2020 by Global Publishers Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inawajulisha wanafunzi waliomaliza mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) hivi karibuni kuwa mfumo wa kuomba mkopo kwa njia ya mtandao utafunguliwa kwa siku tano (05) kuanzia kesho, Alhamisi,

Bosi Simba: Huu Mwendo Wa Yanga Utatwaa Ubingwa

Posted by - September 30, 2020

Bosi Simba: Huu Mwendo Wa Yanga Utatwaa Ubingwa September 30, 2020 by Global Publishers ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage amefunguka kuwa, katu wasitokee watu wa kuicheka Yanga kutokana na ushindi wa bao moja katika kila mechi kwani wana uwezo wa kutwaa ubingwa kwa mabao hayohayo msimu huu.   Yanga ambayo

Waliomuua Kada wa CCM Njombe Wakiri Kutekeleza Mauaji Hayo

Posted by - September 30, 2020

Waliomuua Kada wa CCM Njombe Wakiri Kutekeleza Mauaji Hayo September 30, 2020 by Global Publishers Kamanda wa Polisi mkoani Njombe, Hamis Issa amesema gari namba T 457 DAB, Toyota Gaiya, mali ya George Sanga ambaye ni mgombea Udiwani Kata ya Ramadhani kwa tiketi ya CHADEMA ilitumika wakati wa utekelezaji wa mauaji ya kada wa CCM

Gereza Ambalo Wafungwa Hawapewi Chakula, Wanaruhisiwa Kutoka Kujitafutia

Posted by - September 30, 2020

Gereza Ambalo Wafungwa Hawapewi Chakula, Wanaruhisiwa Kutoka Kujitafutia September 30, 2020 by Global Publishers Ni gereza la Sanganer, lililopo katika Mji wa Jaipur nchini India, wafungwa hupewa mahali pa kulala lakini hawapewi chakula na fedha hivyo ni lazima watoke asubuhi kwenda kufanya kazi na kurudi jioni ili wapate kipato kwa ajili ya mahitaji ya kila

Mashabiki wa muziki Kenya wapagawa na Kutajwa kwa Khaligraph Jone kwenye orodha ya Tuzo za BET kama Rapper bora 2020

Posted by - September 30, 2020

Ni ndoto ya kila mmoja kuona chochote anachokifanya haswa kwenye sanaa iwe ya uigizaji, uimbaji ama riadha anapata nafasi ya kutambulika na ulimwengu, haswa hata kufikia hatua ya kutajwa kwenye tuzo za ulimwengu kama zile za BET. Na ndoto hii imekua kwenye kichwa cha rappa wa nchini Kenya Khalighraph Jones, ambae ameonekana kutolegeza kamba kwenye

RC Kunenge aridhishwa na hatua za utekelezaji wa maagizo aliyotoa Rais Magufuli juu ya miradi Dar Es Salaam

Posted by - September 30, 2020

Utekelezaji wa maagizo mbalimbali ya ujenzi wa Miradi ya maendeleo jijini Dar es salaam yaliyotolewa na Rais Dkt. John Magufuli yametekelezwa kwa asilimia kubwa ambapo leo Mkuu Wa Mkoa huo Mhe. Aboubakar Kunenge amefanya ziara ya kukagua utekelezaji Wa maagizo hayo na kuonyesha kuridhishwa na hatua miradi ilipofikia. Miongoni mwa miradi aliyotembelea RC Kunenge ni

Tecno Camon 16 Premier Camera Review

Posted by - September 30, 2020

Tecno has always put so much emphasis on the camera for all its devices in the Camon Series, the Camon 16 Premier is no different.   Tecno officially unveiled the Camon 16 Premier two weeks ago, a phone the company says will provide users an unprecedented clear photography experience. TECNO Camon 16 Premier has a total

How to tap to pay with Visa (contactless payments)

Posted by - September 30, 2020

September 30, 2020Oliver cheruiyot Leave a Comment Tapping to pay with Visa is a safe, touch-free way to pay for what you need.  First check your card for the Contactless Indicator or load your card into your payment-enabled device. Then looks for the Contactless Symbol on the merchant’s checkout terminal. When prompted, tap your card

Orange launches a new $30 4G smartphone in Africa

Posted by - September 30, 2020

Orange has announced the Sanza touch – an exclusive Orange 4G Android (Go edition) smartphone for the African market. The device will retail around $30. Orange says the ultra-affordable price point is intended to make it the most accessible on the market with the goal of driving digital inclusion and providing more people access to