Tundu Lissu: Siku mmechagua rais wa CHADEMA, itakuwa ndiyo siku ya mwisho kulipa vitambulisho vya machinga

Posted by - September 17, 2020

Lissu amesema hayo leo Septemba 16 akiwa  anazungumza na wakazi wa Mbalizi mkoani Mbeya, juu ya changamoto za wafanyabiasahara wadogo kwa wakubwa ambapo amesema kuwa huo ni mkutano wake wa kwanza na wilayani humo. “Siku mmechagua rais wa CHADEMA itakuwa ndiyo siku ya mwisho kulipa vitambulisho vya machinga ” alisema Tundu Lissu Aidha Lissu amesema kuwa

Jimbo la Kaduna Nigeria laidhinisha sheria ya kuwahasi wabakaji wa watoto

Posted by - September 17, 2020

Gavana wa jimbo la kaskazini magharibi mwa Nigeria la Kaduna, Nasir Ahmad el-Rufai, amesaini sheria inayotoa adhabu kali kwa wanaopatikana na hatia ya ubakaji wa watoto. Kulingana na sheria hiyo wanaopatikana na hatia ya ubakaji wa watoto walio chini ya umri wa miaka 14 watapewa hukumu ya kufanyiwa upasuaji wa kuwahasi na kifo Pale ambapo

MAREKANI: Dhoruba kali ikiambatana na mvua yapelekea zaidi watu 55,000 kukaa gizani (+Video)

Posted by - September 17, 2020

Dhoruba ya kitropiki imesababisha zaidi ya watu nusu milioni wa Marekani kukosa umeme wakati mvua kubwa ikinyesha na dhoruba kubwa ikipiga katika fukwe za pwani ya Ghuba ya Marekani. Upepo ulipungua baada ya kimbunga kufika sehemu ya pili, siku ya Jumatano lakini dhoruba kubwa iliendelea kupiga katika jimbo la Florida na Alabama. Mafuriko yamesababisha uharibifu

Nyani aiba smartphone, ajipiga picha za ‘Selfie’ (+Video)

Posted by - September 17, 2020

Mwanafunzi mmoja raia wa Malaysia amepata picha za selfie za tumbili na video kadhaa katika simu yake iliyokuwa imepotea. Picha hizo zimesambazwa sana mitandaoni tangu Zackrydz Rodzi ilipoiweka kwenye ukurasa wake wa Twitter. Zackrydz, 20, ameiambia BBC kwamba aligundua simu yake imepotea alipoamka usingizini, na alipojaribu kupiga simu yake aliisikia ikilia katika kichaka karibu na

Offices are becoming social meeting places, Bolt survey

Posted by - September 17, 2020

As the debate about the future of the office rages on, more companies and experts now envision a hybrid future, with more time spent working remotely, yet with chances to regularly convene teams. Bolt is piloting the concept of hybrid office with only 20% of employees having designated seats.  The data shared by Bolt, indicates

Barbados yatangaza kumuondoa, Malkia Elizabeth kama kiongozi

Posted by - September 17, 2020

Visiwa vya Barbados vimetangaza nia yake ya kumuondoa Malkia Elizabeth kama kiongozi wa nchi hiyo na kuwa Jamuhuri. ”Muda umewadia wa kuachana na historia yetu ya kikoloni,” Serikali ya taifa hilo la kisiwa hicho cha Caribbean imesema. Barbado ina lengo la kumaliza mchakato huo wakati wa kumbukumbu ya miaka 55 ya uhuru wake kutoka Uingereza,

Timu ya ligi kuu yapewa onyo kwa kosa la wachezaji kutokuwa na Soksi 

Posted by - September 17, 2020

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Septemba 15, 2020 ilipitia mwenendo na matukio mbalimbali ya Ligi na kufanya maamuzi yafuatao; Mechi namba 2: Biashara United FC 1-0 Gwambina FC Timu ya Gwambina FC imepewa onyo kali kwa kosa la kufika katika kikao cha

Namungo FC wapewa onyo kali kosa wachezaji kuvaa jezi namba zaidi ya 60

Posted by - September 17, 2020

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Septemba 15, 2020 ilipitia mwenendo na matukio mbalimbali ya Ligi na kufanya maamuzi yafuatao; Mechi namba 1: Namungo FC 1-0 Coastal Union FC Timu ya Namungo FC imepewa onyo kali kwa kosa la kuchezesha wachezaji wakiwa wamevaa

Diva atangaza kuacha kazi rasmi Clouds media, Nimeamua kwa akili zangu mwenyewe

Posted by - September 17, 2020

Mtangazaji wa kituo cha Clouds media Diva the Boss lady ametangaza kuacha kazi katika kituo hicho.kupitia ukurasa wake wa Instagram Diva amepost hiki. “Mashabiki wangu wa #alazaroho Mambo vipi?! mimi mwenyewe kwa akili zangu binafsi Maamuzi Yangu Binafsi nachukua nafasi Hii kuwaaga … ntawamiss sana tumekuwa wote kwa Miaka 11 .. worth it , Natoa Shukran

Bilionea wa Nigeria awanunulia mabinti zake watatu Ferrari, Davido aahidi kumnunulia binti yake (+Video)

Posted by - September 17, 2020

Bilionea wa Nigeria, Femi Otedola ameibua mjadala mkali kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuwanunulia mabinti zake watatu gari aina ya Ferrari Portofino kila mmoja. Watoto hao wakike wa Bilionea, Otedola ni Tolani Otedola, Temi Otedola na Florence Otedola (DJ Cuppy). Kupitia akaunti yake ya Twitter, DJ Cuppy amefunguka kuwa Mr Otedola amewanunulia kila mmoja