Waliomuua Dkt. Mvungi Wahukumiwa Kifo

Posted by - September 18, 2020

Waliomuua Dkt. Mvungi Wahukumiwa Kifo September 18, 2020 by Global Publishers WATU watano wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kuhusika na mauaji ya aliyekuwa mwanasheria maarufu nchini na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dkt. Sengondo Mvungi. Hukumu hiyo imetolewa jana jijini Dar es Salaam ambapo pia mahakama imemwachia

Kenya: Wauguzi 16 Wafariki kwa Corona

Posted by - September 18, 2020

Kenya: Wauguzi 16 Wafariki kwa Corona September 18, 2020 by Global Publishers WIZARA ya afya nchini Kenya imetangaza kuwa wauguzi 16 wamepoteza maisha, wakiwa miongoni mwa wauguzi 945 walioambukizwa ugonjwa wa COVID-19 tangu kutangazwa kwa janga hilo nchini Kenya mwezi Machi.   Wizara hiyo imeeleza kuwa wauguzi wanakabiliwa na hatari ya maambukizi ya magonjwa mengine

Mbunge Anaswa Akitazama Video ya Ngono Bungeni

Posted by - September 18, 2020

Mbunge Anaswa Akitazama Video ya Ngono Bungeni September 18, 2020 by Global Publishers Mbunge wa Jimbo la Chonburi Thailand, Ronnathep Anuwat amezua gumzo mitandaoni na mitaani nchini humo baada ya camera za Bunge kumnasa akiwa anatazama picha za ngono kwenye simu yake wakati Bunge la Bajeti likiendelea.   Picha moja inamuonesha Mwanamke akiwa uchi wa

EPL Inarejea Tena ni Ni Liverpool dhidi ya Chelsea ‘Darajani’

Posted by - September 18, 2020

EPL Inarejea Tena ni Ni Liverpool dhidi ya Chelsea ‘Darajani’ September 18, 2020 by Global Publishers Msimu wa 2020/21 umeanza kwa kasi, timu mbalimbali zimeanza kwa matokeo mazuri kwenye michezo yao ya kwanza. Tukiwa kwenye michezo ya wiki ya pili, tunaanza kupata ladha ya ‘Big Match’. Wikiendi hii ni Mabingwa Watetezi wa EPL – Liverpool

Hans Poppe: Nasubiri Hukumu ya TFF

Posted by - September 18, 2020

Hans Poppe: Nasubiri Hukumu ya TFF September 18, 2020 by Global Publishers MJUMBE wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba na Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji, Zacharia Hans Poppe ameshangaa kuona hadi leo Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), haijampa barua ya hukumu yake ya kutakiwa kulipa faini ya milioni tano.

Yanga Yapata Vikosi Viwili Kamili

Posted by - September 18, 2020

Yanga Yapata Vikosi Viwili Kamili September 18, 2020 by Global Publishers KOCHA Mkuu wa Yanga Mserbia, Zlatko Krmpotic, tayari ametengeneza vikosi viwili vya timu hiyo katika kupata kimoja ambavyo juzi alivitumia katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Mlandege ya Zanzibar.   Katika mchezo huo uliopigwa kwenye Uwanja wa Chamazi Complex, Mbagala nje kidogo ya jiji

Asus ROG Zephyrus Duo 15 (GX550) Review – Raw Power and Dual Display

Posted by - September 18, 2020

When it comes to gaming laptops, Asus with its ROG series is a dominant force. We have seen a number in this series and one of the latest is the ROG Zephyrus Duo 15. I have had a chance to interact with this laptop that promises high end gaming performance and delivers on that. The

Ostadh Juma Afunguka Kuhusu Kufilisika

Posted by - September 18, 2020

Ostadh Juma Afunguka Kuhusu Kufilisika September 18, 2020 by Global Publishers Meneja Ostadh Juma na Musoma amefunguka madai ya wasanii kumfilisi hadi kupelekea kuhama Jijini Dar Es Salaam na kuhamia Jijini Tanga, pia amesema asili ya watu wa Musoma wanafanya muziki kama starehe ila sio biashara.   Ostadh Juma ameeleza kuwa; “Wasanii hawajawahi kunifilisi kwanza

OPPO Reno 4 Specifications and Price in Kenya

Posted by - September 18, 2020

OPPO Reno 4 in Space black and Galactic blue OPPO Reno 4 Specifications: Oppo is already set to unveil its new Reno series device, Reno 4. After international reveal in August, Oppo Reno 4 is landing in Kenya this September. Oppo Reno 4 sports a 6.40-inch 1080p Super AMOLED display, 8GB of memory, and a

Bonge la Nyau Aanika Alichokiona Kabla ya Ajali

Posted by - September 18, 2020

Bonge la Nyau Aanika Alichokiona Kabla ya Ajali September 18, 2020 by Global Publishers MSANII nchini ajulikanaye kama Bonge la Nyau amesema kitu cha mwisho walichokiona kabla ya kutokea kwa ajali ambayo aliipata na wenzake hivi karibuni, ni mwanga mkali mbele yao, kisha Lulu Diva akaanza kupiga kelele za “Mama Nakufaaa!”   Amesema baada ya