Nicki Minaj Apata Mtoto – Global Publishers

Posted by - October 2, 2020

Nicki Minaj Apata Mtoto October 2, 2020 by Global Publishers Imeripotiwa kuwa Mwanamuziki Nicki Minaj Pamoja na mpenzi wake Kenneth Petty wamepata mtoto wao wa kwanza baada ya Nicki Kujifungua siku ya Jana huko Los Angeles.   Nicki alishare kwa mara ya Kwanza kuwa ni mjamzito na anatarajia mtoto mwezi wa July Mwaka huu ,

Rais wa Marekani Donald Trump na mke wake wakutwa na CORONA

Posted by - October 2, 2020

Trump na mke wake wamepatikana na virusi vya corona baada ya kuwa kwenye karantini. Rais Donald Trump wa Marekani amesema kwamba yeye na mke wake Melania Trump wamepatikana na virusi vya corona na wako kwenye karantini. Ametoa tangazo hilo kwenye mtandao wa Twitter. Tangazo hilo linawadia baada ya Bwana Trump na wasaidizi wake wawili kuthibitishwa

Baada ya kumuonjesha Otile Brown Asali Vera Sidika ampa Buyu zima msanii Brown Mauzo

Posted by - October 2, 2020

Mrembo Vera Sidika hayupo tena “Single”, imebainika sasa kuwa ni wazi yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi mbashara na msanii Brown Mauzo. Vera ambae amekua akigonga vichwa vya habari kwa maisha yake ya ustaarabu na hali ya juu, waingireza wangekunong’onezea kuwa ” She is living life on the first lane”. Baada ya kuachana na msanii Otile

Diamond aachia audio ya wimbo mpya – Haunisumbu

Posted by - October 2, 2020

Rais wa WCB, Diamond Platnumz ameachia audio ya wimbo wake Haunisumbui ambapo Lizer Classic akiwa Producer. The post Diamond aachia audio ya wimbo mpya – Haunisumbu appeared first on Bongo5.com. Posted from

Sakata la Morrison, kikosi cha Stars na Samatta vyajadiliwa B5Sports (+Video)

Posted by - October 2, 2020

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF limetangaza kikosi cha wachezaji wa Taifa Stasr kitakacho ingia kambini Oktoba 5 kujiandaa na mechi ya kirafiki dhidi ya Burundi. Bongofive kupitia kipindi cha B5Sports tumejadili kuhusiana na kikosi hicho, nafasi ya Mbwana Samatta kwenye mechi yake ya kesho dhidi ya Fatih Karagümrük katika Ligi Kuu ya Uturuki

Infinix HOT 10 ndiyo habari ya mjini, kamera nne na kasi ya nguvu

Posted by - October 2, 2020

Muziki kama wote wakati wowote ndio kitu wanapenda vijana wa kisasa na Infinix ni kama wamelizingatiahili kupitia ujio wa toleo la Infinix HOT 10. Infinix HOT 10 kuja na DTS Audio teknoloji maalumu kwajili yakukupa muziki mzuri sambamba na wa redioni. Na kama inavyofahamika HOT series nit toleo la vijana basipia inasemekana Infinix HOT 10

Picha: Askofu T.D Jakes wa kanisa la Potters Marekani awasili nchini Kenya

Posted by - October 2, 2020

Askofu, mjasiriamali, muandishi na muigizaji maarufu wa Marekani yupo nchini Kenya. TD Jakes ambae ni maarufu sana duniani kwa safu za sinema, uandishi wa vitabu vya kutia motisha mbali na mahubiri yanayofatiliwa na wafuasi wengi zaidi duniani, amealikwa Kenya na kampuni ya utalii ya Bonfire Adventures ambayo imekua ikifanya kazi kwa karibu na mastaa wengi

Vita vya pamba moto Azerbaijani na Armenian 

Posted by - October 2, 2020

Vikosi vya jeshi la Azerbaijani na Armenian vimekataa wito wa kumaliza mzozo katika eneo la kusini mwa Caucasus, eneo ambalo mapigano yameongezeka hivi karibuni. Alhamisi, Urusi na Ufaransa zimetaka kusitishwa kwa mapigano yanayoendelea ukanda wa Nagorno-Karabakh, eneo ambalo lina ghasia kubwa ambazo hazijawahi kutokea kwa miongo. Lakini makombora na milipuko mikubwa imeripotiwa katika mji mkuu

Hii ndio sababu ya Tundu Lissu kusimamishwa kufanya kampeni kwa siku 7

Posted by - October 2, 2020

Taarifa hiyo imetolewa leo Oktoba 2, 2020 na Katibu wa kamati ya maadili ya kitaifa Emmanuel kawishe, ambapo imedaiwa kuwa maneno hayo ya uchochezi aliyatoa akiwa mkoani Mara na Geita na kamati imeridhia kuwa Lissu amekiuka maadili ya uchaguzi. Aidha taarifa hiyo imeongeza kuwa barua ya kumtaka Lissu kujibu tuhuma hizo iliwasilishwa kwa Katibu Mkuu

Hers is What to Expect from the Second realme C15 That Kicks off Tomorrow

Posted by - October 2, 2020

After the successful launch and roll out of realme C15, the world’s fastest-growing smartphone brand, realme, is set to rollout the second Hot Sale for the realme C15 that will see Kenyan customers enjoy amazing offers. This is not the first realme product to hit the Kenyan market. The company has already firmed its roots