Yanga Kuivaa Coastal Kibabe leo

Posted by - October 3, 2020

Yanga Kuivaa Coastal Kibabe leo October 3, 2020 by Global Publishers KIKOSI cha Yanga leo kinatarajiwa kujitupa uwanjani kuvaana na Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Bara huku kocha msaidizi wa timu hiyo, Juma Mwambusi akimtaka kila mchezaji atakayepata nafasi ya kucheza kuhakikisha anapambana ili apate namba ya kudumu.   Kauli hiyo aliitoa kocha

Ngao Credit opens new branch in Thika town

Posted by - October 3, 2020

Financial services provider Ngao Credit has opened a new branch in Thika town. The new branch will serve the entire Thika region and will be located at Maisha Heights, 1st Floor along Kenyatta Street.  With the new branch, customers in Thika town and the entire Central Kenya will now be able to take advantage of

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Posted by - October 3, 2020

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa October 4, 2020 by Global Publishers Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  na Gazeti la Amani kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Bonyeza hapa kununua >> SpotiXtra<< AU Hapa>> SpotiXtra<<     AU Bonyeza hapa >> AMANI  << Toa comment

‘Nini Sarpong, Bocco ni Hatari Aisee…’

Posted by - October 3, 2020

‘Nini Sarpong, Bocco ni Hatari Aisee…’ October 3, 2020 by Global Publishers BEKI wa Mtibwa Sugar, Dickson Job, amefunguka kuwa mshambuliaji wa Simba, John Bocco ni hatari zaidi ya Mghana wa Yanga, Michael Sarpong.   Job msimu huu amecheza na mastraika hao kwa nyakati tofauti akiwa na uzi wa Mtibwa Sugar akishirikiana na pacha wake

Tunda Afunguka Skendo Kutumia Dawa za Kulevya!

Posted by - October 3, 2020

Tunda Afunguka Skendo Kutumia Dawa za Kulevya! October 3, 2020 by Global Publishers MREMBO anayeuza nyago kwenye video za muziki (video queen) mwenye visa lukuki Bongo, Anna Sebastian Kimario ‘Tunda’ amesema kuwa ili uweze kukua kiakili hadi umri, lazima kukabiliana na changamoto mbalimbali hasa za kwenye mitandao ya kijamii. Tunda au Cappuccino amefanya mahojiano ya

 Asanteni wana-Buchosa Hakika Mmeonesha Upendo Mkubwa!

Posted by - October 3, 2020

 Asanteni wana-Buchosa Hakika Mmeonesha Upendo Mkubwa! October 3, 2020 by Global Publishers KWANZA kabisa nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kuifikia tena siku hii ya leo, pili niwashukuru wananchi wa Buchosa, ndugu zangu, mama zangu, kaka zangu na dada zangu, nina furaha moyoni kusema niwashukuru sana.   Hakika nimeamini kwamba, kweli mnajua kunitoa machozi.

KATAVI: Kijana Ajiua baada ya Mama yake kukataa kuhamia CHADEMA (+Video)

Posted by - October 3, 2020

Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Mkoani Katavi Abdi Isango amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema siku moja kabla ya kifo cha kijana huyo kulitokea tofauti ya majibizano ya kisiasa, ambapo marehemu alikuwa ni mfuasi wa CHADEMA na alikuwa akimshawishi mama yake kuhamia chama hicho ndipo mama yake ambaye ni mfuasi wa CCM akakasirika

Kenya: Msanii Timmy Tdat auweka hadharini mjengo wake wakifahari

Posted by - October 3, 2020

Msanii Timmy Tdat ambae anatamba na ngoma “Wote wazuri” aliyomshirikisha msanii nyota Brown Mauzo mwenye makazi yake mjini Mombasa, amerusha picha zikionyesha mjengo wake mpya ambao upo kwenye hatua za mwisho kumalizika kujengwa. Timmy ambae ameshawahi kugonga vichwa vya habari kwa kukisiwa kutoka kimapenzi na staa wa hapa Tanzania Rosa Ree. Mashabiki wamejitokeza kwa wingi

Muna: Ntaendelea kumuongelea mwanangu Patrick maana asingekuwa yeye huenda nisingejulikana (+Video)

Posted by - October 3, 2020

Msanii wa Bongo Movie @munalove100 leo amekutana na mama yake wa kiroho kanisani kwake kwa ajili ya kuongea na akina mama wenzake na kujaribu kuwatia moyo wale waliokata tamaa.Akiongea na wana habari Muna ameulizwa kwanini kila anapoandaa tukio ni lazima amuongelee mtoto wake ambaye tayari ametangulia mbele ya haki Patrick na asifanye mambo mengo kwani hiyo ilikuwa