Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Posted by - October 4, 2020

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa October 5, 2020 by Global Publishers Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= AU Bonyeza kununua >> Championi <<.     IJUMAA WIKIENDA AU Bonyeza kununua >>

5 Benefits of Induction Hob Cooking

Posted by - October 4, 2020

With the world becoming more conscious about conserving energy, the induction cooktop is now the modern way to prepare your meals. The science of induction cooking involves heating the pan with a magnetic field, rather than having the pan’s surface on a direct flame as with a gas cooktop or on an element as with

Ishu ya Morrison Yamuibua Rage

Posted by - October 4, 2020

Ishu ya Morrison Yamuibua Rage October 4, 2020 by Global Publishers ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage amemtaka Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Fredrick Mwakalebela aache kuwadanganya mashabiki wa timu hiyo kuhusiana na ishu ya mkataba wa kiungo mshambuliaji wa Simba, Bernard Morrison.   Juzi Klabu ya Yanga kupitia Mwakalebela ilitoa malalamiko

Chadema: Lissu Hataendelea Na Kampeni -Video

Posted by - October 4, 2020

Chadema: Lissu Hataendelea Na Kampeni -Video October 4, 2020 by Global Publishers Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe leo Oktoba 4, 2020 amesema mgombea wao wa Urais, Tundu Lissu hataendelea na kampeni kwa kipindi ambacho tume imezuia mikutano yake. Amesema; “Tundu Lissu siyo tu ni mgombea wa Urais wa chama chetu, huyu ni Makamu Mwenyekiti wa

Wafanyakazi Tanesco Wasimamisha Msafara Wa Shigongo Buchosa

Posted by - October 4, 2020

Wafanyakazi Tanesco Wasimamisha Msafara Wa Shigongo Buchosa October 4, 2020 by Global Publishers Mgombea Ubunge wa Jimbo la Buchosa kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo akiwa njiani akitokea katika Kijiji cha Busenge jimboni humo, kuwafariji baadhi ya wananchi ambao nyumba zao zimeezuliwa baada ya mvua kubwa kunyesha iliyoambatana na upepo mkali uliopelekea

Simba Yaipiga 4G JKT Tanzania Jamhuri, Dodoma

Posted by - October 4, 2020

Simba Yaipiga 4G JKT Tanzania Jamhuri, Dodoma October 4, 2020 by Global Publishers KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck, leo Oktoba 4 kimeibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya JKT Tanzania kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Mabao ya Simba yalifungwa na Meddie Kagere aliyefunga mabao mawili dakika ya 4

Samatta afunguka kuhusu Astona Villa – Siwezi kumlaumu mtu (+Video)

Posted by - October 4, 2020

Mshambuliaji wa klabu ya Fenerbahce Mbwana Samatta amesema kamwe hawezi kumlaumu mtu yoyote kwa kile kilichotokea akiwa Aston Villa. View this post on Instagram #FumoUpdates SAMATTA AKIFUNGUKA KUHUSU ASTON VILLA – SIMLAUMU MTU YOYOTE (3) . Mshambuliaji wa klabu ya Fenerbahce Mbwana Samatta amesema kamwe hawezi kumlaumu mtu yoyote kwa kile kilichotokea akiwa Aston Villa.

Msanii Femi One wa Kenya aliyeimba ‘Utawezana’ sasa ni mama kijacho

Posted by - October 4, 2020

Habari mpya mjini ni kuhusu ujauzito wa msanii maarufu wa nchini Kenya Femi One ambae amefahamika Africa nzima kupitia kibao ambao alimshirikisha Mejja kwa jina “Utawezana”. Femi One ameonekana kufurahia hadi kufunguka kupitia mtandao wa instagram akionyesha jinsi ujaizito wake ulivyokua. Mama kijacho huyo hatahivyo, ametaniwa na boss wake King Kaka kwa kutupia post inayoonyesha

Wahitimu 1191 Don Bosco Wafuzu Mafunzo ya Ufundi Kwa Vitendo

Posted by - October 4, 2020

Wahitimu 1191 Don Bosco Wafuzu Mafunzo ya Ufundi Kwa Vitendo October 4, 2020 by Bukos Wageni waalikwa wakiangalia ujuzi wa wahitimu hao. Jumla ya vijana 1191 wamemaliza mafunzo yao ya ufundi stadi ambayo wameyapata katika taasisi ya Don Bosco iliyopo Oysterbay ikishirikiana na Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu. Mahafali hayo

Chadema: Lissu Hataendelea Na Kampeni

Posted by - October 4, 2020

Chadema: Lissu Hataendelea Na Kampeni October 4, 2020 by Global Publishers Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe leo Oktoba 4, 2020 amesema mgombea wao wa Urais, Tundu Lissu hataendelea na kampeni kwa kipindi ambacho tume imezuia mikutano yake. Amesema; “Tundu Lissu siyo tu ni mgombea wa Urais wa chama chetu, huyu ni Makamu Mwenyekiti wa Chama