Wahuni wa Mjini Wampiga Carlinhos

Posted by - October 5, 2020

Wahuni wa Mjini Wampiga Carlinhos October 5, 2020 by Global Publishers KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Carlos Carlinhos, amekutana na wahuni wa mtandaoni ambao wamemliza kwa kumuibia akaunti yake ya Instagram.   Carlinhos ambaye amejiunga na Yanga msimu huu, amekutana na balaa hilo ikiwa ni siku chache baada ya kuanza kuonesha cheche zake ndani ya Ligi

Nunua na Soma Gazeti la Uwazi kirahisi zaidi hapa

Posted by - October 5, 2020

Nunua na Soma Gazeti la Uwazi kirahisi zaidi hapa October 6, 2020 by Global Publishers Jipatie nakala ya Gazeti la Uwazi  kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= AU Bonyeza hapa kununua >>Uwazi <<     AU Bonyeza kununua >> Championi <<. Toa comment Posted from

Benki ya NCBA Yafungua Matawi Mawili Mapya Mkoani Mwanza

Posted by - October 5, 2020

Benki ya NCBA Yafungua Matawi Mawili Mapya Mkoani Mwanza October 5, 2020 by Bukos Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella (wa tatu kushoto) akionesha nembo ya Benki mpya ya NCBA Tanzania wakati wa hafla ya chakula cha usiku kwa wateja na wadau wa benki hiyo, iliyofanyika jijini Mwanza mwishoni mwa wiki. Wengine ni

Tigo Ilivyozindua Wiki ya Huduma Kwa Wateja Utawapenda!

Posted by - October 5, 2020

Tigo Ilivyozindua Wiki ya Huduma Kwa Wateja Utawapenda! October 5, 2020 by Bukos Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja wa Tigo, Mwangaza Matotola (wapili kushoto) akizungumza. Kushoto ni Mkuu wa Mauzo na Usambazaji, Catherine Lutende, Kulia ni Msimamizi wa Huduma kwa Wateja, Henry Mboya na anayemfuatia ni Mwakilishi wa Watoa Huduma, Dora Mzinga. Kampuni

Mtangazaji Willy M Tuva amumwagia sifa tele msanii Dogo Richie

Posted by - October 5, 2020

Msanii nyota wa nchini Kenya Dogo Richie ambae kwa mda wa majuma mawili amekua akigonga, vichwa vya habari nchini Kenya baada ya kuachilia video ya kibao “Sina habari nao” ambayo ili zua mjadala, akinukisha tena. Amerudi kua gumzo baada ya mtangazaji nyota na mushindi wa tuzo za Afrimma 2019 kitengo cha mtangazaji bora wa mwaka

Vodacom Yasherehekea Wiki ya Huduma kwa Wateja Ikitimiza Miaka 20

Posted by - October 5, 2020

Vodacom Yasherehekea Wiki ya Huduma kwa Wateja Ikitimiza Miaka 20 October 5, 2020 by Bukos Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Vodacom, Harriet Lwakatare (kulia) akimshuhudia mmoja wa wateja wao akikata keki.  Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom leo imesherehekea wiki ya Huduma kwa Wateja huku ikitimiza miaka 20 tangu kuanza kutoa huduma hapa

Mwisho Mwampamba azungumza baada ya ukimya wa muda mrefu, Nimejuana na Kalito kipindi natoka na Ray C (+Video)

Posted by - October 5, 2020

Leo Bongo5 tumepata nafsi ya kupiga stori na mfanyabiashara wa chakula hapa Dar Es Salaam @kalitosamaki alimaarufu Kalito wa Samaki Samaki ambaye leo amefungua mgahawa mwigine wa KUKU KUKU. @kalitosamaki emeeleza dhamira yake ya kufungua mgahawa mwigine wa KUKU KUKU baada ya SAMKI SAMAKI kufanya vizuri. Mbali na hilo tumepiga stori na aliyewahi kuwa mshiriki wa BIG BROTHER

Africa, Kenya and the Cloud – The Numbers You Need to Know

Posted by - October 5, 2020

As a unified online platform for communication and collaboration, the cloud is now widely considered to be one of the most valuable resources we have at our disposal. It’s reported that by the end of 2020, 82% of workloads globally will reside on the cloud and more than 40 zettabytes of data will be flowing

Hali ya kiafya ya Trump yazua hofu baada ya kukutwa na Corona (+Video)

Posted by - October 5, 2020

Rais wa Marekani Donald Trump anaendelea kupewa uangalizi wa karibu akiwa hospitali ambako anapokea matibabu ya Covid-19. Kuna tashwishi kuhusu uwezekano wa Bw. Trump kutolewa hospitali – kama walivyokuwa wamesema madaktari wake kwamba huenda akatoka Jumatatu huku maswali yakiibuliwa kuhusu hali yake. Kiwango cha oksijeni yake kilishuka mara mbili na pia anatiliwa tiba ya steroid.

Ulimwengu unahitaji aina mpya ya siasa – Papa Francis

Posted by - October 5, 2020

Kiongozi wa kanisa Katoliki ulimwenguni Papa Francis amesema janga la corona limethibitisha yale yanayotajwa kuwa “nadharia za kimiujiza” za masoko ya kibepari zimeshindwa. Papa Francis amesema kwamba ulimwengu unahitaji aina mpya ya siasa inayokuza mazungumzo na ushirikiano na inayopinga vita kwa njia zote. Hapo jana Papa Francis aliweka wazi maono yake ya baada ya COVID-19